Mhigwa one
Member
- Nov 5, 2016
- 60
- 46
Nichek 0653242878 maana hat mi limenikuta ila nshasolvenshasolveView attachment 430282 wadau profile yangu inaonesha hivyo lakini nikiangalia web ya chuo cha udom jina langu halionekani tatizo ni nini wakati TCU wameshanichagua? Kuanzia first batch hadi fifth batch! Nishaurini tatizo nini?
Ndugu zangu nisaidieni nahitaji kwenda chuo na muda wa masomo kuanza umewadia sijajua mwisho wa kuripoti udom lini?
Mkuu heb tutaftane na mm nna ishu kama hyoView attachment 430282 wadau profile yangu inaonesha hivyo lakini nikiangalia web ya chuo cha udom jina langu halionekani tatizo ni nini wakati TCU wameshanichagua? Kuanzia first batch hadi fifth batch! Nishaurini tatizo nini?
wach ufala bas jamaaMtafute IT fresh graduate kutoka IFM atafix hilo tatizo