Profile yangu inanichanganya

Profile yangu inanichanganya

kwani mwisho si ilikuwa 4th round iyo 5th ilikuwa lini
 
Jamani nijulisheni updates zozote za majina kama yametolewa na chuo cha udom kujiunga na shahada mpaka sasa nasubiri japo TCU walishanichagua naanza kupoteza matumaini kabisa!
 
Back
Top Bottom