Profile ya ex wangu baada ya kutumbuliwa utumishi hewa

Ni kweli atayaweza yote kwa amtiaye nguvu.Yako mengi na yanamkuta yoyote yule.Usifurahie maana kuna leo na kesho....linaweza kukukuta zaidi ya hilo.
 
Demu wako arudi banda tu ajiunge na wenzie
 
ghafla bin puh....kawa wa matopeni....msaidie...maisha nikusaidiana
 
Tusifurahie matatizo ya watu ,hakuwa anafuja alichokuwa anapata alaikuwa naasaidia ndugu,labsa na hata kusomesha....Huwez jua atafunguliwa mlango wa Pili
 
Kipindi hiki idadi ya waumini itaongezeka kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…