Mkuu, hapa sasa ndio unahamisha mada kutoka kwa Slaa kwenda kuleeeeeee kwenye matusi in the name of Allah/God
Tubaki na CV ya slaa, hayo ya kukaanga mbuyu, waachie wenye meno watafune
Akiwa kamala mhhh sawa ana DR feki, akiwa Slaa ni sawa, oh mara anaya seminari...basi from certificate to doctorate HII KALI.
IN SHORT SLAA HANA UDOKTA WOWOTE, NA KUANZIA LEO NAMWITA SLAA.
Mkuu wangu MTM, watanzania waone hivihivi...huyu jamaa hata kama kapitia hiyo system ya semnari, me sijaelewa from certificate mpaka u doctorate.mmmh
Mnao hangaika na elimu ya dk. Slaa mnajua ni nini kinasomwa ktk seminari nilizoziorodhesha hapa chini?
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
kwa kuwasaidia tu kwani naona hamuijui elimu ya seminari kuu. ukimaliza form 6 unaingia course ya mwaka 1 (certificate in philosophy). Then ukifaulu unaanza certificate in theology for 3 yrs na kwa mfumo wa seminary this is more than master degree.
Kwa hiyo kama unasoma ktk mfumo wa shule za kawaida ndo utakuta hizo masters n.k. na wapo mapadre waliosoma pia ktk mfumo wa shule za kawaida.
Kwa dk. Slaa hiyo ni system ya kiseminari kwa hiyo baada ya kusoma miaka 4 after A-level, you go straight to doctorate. Kama mtu anashaka na chuo alicho soma check kwenye mtandao ujiridhishe.
Mods naomba post yangu irudi niliyo mquote MTM. Ame edit post yake. Kama sivyo ifuteni ya kwake pia. Hawezi kurusha dongo, nimjibu, mfute yangu halafu yake muache, halafu a-edit. Where is the balance in the forum?
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Mkuu, i deleted mine... na nakumbuka nilipost issue ya mke wa mbowe kwenye thread ya Slaa, na wewe ndio ukanikumbusha nikaomba radhi na kusema kwamba napata St. George
Au siyo hiyo?
Inasaidia nini nchi kufanya utafiti katika kuongoza kanisa katoliki?mmh... usilolijua ni kama usiku wa kiza. Mojawapo ya mambo ambayo waseminari wamekuwa wakiyalalamikia sana hasa kwa TAnzania ni kuwa mapadre wanapomaliza hawatunukiwi shahada kama zilivyo seminari za nchi nyingine kwani elimu wanayotoa ni ya Juu.
Kwa marekani, mseminari anapata shahada ya kwanza ya Filosofia na shahada ya kwanza ya Teolojia ndipo anapadrishwa. Kwa kisomo hicho hicho seminari za Tanzania zinampatia Diploma!
Matokeo yake, mtu huo wa Tanzania akiamua kujiunga Chuo Kikuu cha Marekani au Uingereza anaweza kwenda moja kwa moja Uzamili au Uzamivu! Wao Wamarekani wanatambua elimu ya Seminary kama elimu ya Chuo Kikuu.
Tatizo lilikuwa linakuja pale kijana anapoachia katikati akiwa seminari na kujikuta amepoteza miaka sita au saba bila ya shahada yoyote!
Wakati umefika kwa seminari za Kikatoliki to catch up to the rest of the world kwa kuwapatia wanafunzi wake alama za elimu zinazotambulikana duniani. Kwa mfano waseminari karibu wote hujifunza mambo ya biashara na elimu nyingine mbalimbali bila kutunukiwa vyeti hivyo hadi pale wanapoenda nje ya nchi.
Hata Makumira nadhani wanafanya vizuri zaidi kwani wao hutoa shahada za Theolojia kwa waseminari wao pale.
Usichanganye mambo na usinichanganye na mtu mwingine. Mimi nimejibu post kutokana na mtoa mada aliyeponda St. St. St. kama post yake hapo juu.
Post namba 45, 46 zime-edititiwa na Silencer. Sasa sielewi kwanini Moderator unachagua ufute nini na uweke nini. Thats flippin' childish. Mtu mwenye akili timamu atasoma na kubalance ki-utu uzima, sasa wewe Moderator kubadilisha post yangu unajiona kama uko kichwani kwangu nasema nini? Thats bullshit man. Please explain.
Huwezi ukajadili CV ya Dr. Slaa bila kuongelea kanisa.
My buddy Tumain..kuwa objective hata mara moja basi rafiki/Usiangalie kila kitu kwa jicho moja hilohilo. Yaani uko serious kabisa na hicho kwenye bold?Inasaidia nini nchi kufanya utafiti katika kuongoza kanisa katoliki?
Inasaidia nini nchi kufanya utafiti kuhusu historia ya kanisa katoliki na kanuni zake?
Slaa ana-fit huko huko kanisani siyo watanzania wenye dini mbalimbali..
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?My buddy Tumain..kuwa objective hata mara moja basi rafiki/Usiangalie kila kitu kwa jicho moja hilohilo. Yaani uko serious kabisa na hicho kwenye bold?
OOooops, sorry mate!!!
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?
Kwasababu qualification za Slaa zinafanana na za huyo Kundecha..lakini kwa mambo ya Kiislamu..
Wanafikiri Seminary ni lelemama.Kule ni cream of the crop.Kitabu chake ni kama ulivyoelezea Mkuu SIYO KAMA SEKONDARI ZA KAWAIDA FORM 4 NA 6
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?
Kwasababu qualification za Slaa zinafanana na za huyo Kundecha..lakini kwa mambo ya Kiislamu..
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?
Kwasababu qualification za Slaa zinafanana na za huyo Kundecha..lakini kwa mambo ya Kiislamu..
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Usilojua usiku wa giza?Huwezi fananisha mtu wa madrasa na padre wewe.
Seminary zinafunika shule nyingi. Wanaofundisha seminary majority ni mapadre. Wanakuwa wamejifunza masomo ya Economics, Physics, Chemistry whatever, you name it. Wanasomea hayo mambo katika masomo ya upadre au extra studies. Kichwa cha aliyepita masomo ya kanisa huwezi ukamlinganisha na mtu anaye cram kiarabu.
Argument zao zimekwenda shule, ndio maana hata waraka wa kanisa unawapelekesha serikali. Wanajifunza kuhudumia watu, kitu ambacho wenye vyeti feki na viongozi wa serikali hawawezi.
Kundecha kuwa rais si kwamba hawezi NO, nimesema kwa maslahi ya Taifa atakuwa yuko biased kama alivyo Slaa na mambo yake ya kikatoliki kikatolikiUsilinganishe tu vyeo vya kidini maana its more than that.I respect your views kabisa. Lakini kumponda Slaa kama ulivyofanya hujamtendea haki.Inawezekana Slaa na Kundecha wako at par kwenye mfumo wa dini kama unavyosema.Lakini sijui maana sijawahi kumsikia Kundecha akifanya analysis za mambo nje ya dini niweze kujiridhisha kuwa wako at par kama unavyosema.Hakuna asiyejua mchango wa Slaa kwenye kupambana na Rushwa kubwa achilia mbali analysis nyingine kwenye nyanja mbalimbali.
The fact kuwa hata wewe unashangaa Kundecha kuwa rais wa Tanzania huenda kweli hawezi.
Slaa ni mpambanaji..pamoja na kuwa na uwezo kuwa rais..hiyo siyo priority kwake.