Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
DUh!!!
wapi kenge tuongee mambo yetu ya kikenge kenge!!
Tuachane na haya mambo ya kibata bata hapa.
Kenge dume........twende zetu tukamtafute Ritz na rejao tuongee mambo yetu ya Sihasa, ngoja nimpitie Bigirita kabisa!!!
Sina mpendwa...lol. Nikukute wapi sasa? Hakikisha Gee hatufuati manake ana penda kuomba sana! Mie nimeiba ya kununua barafu za ukwaju.Wewe unayo kazi?
Njoo nshaiba hela tukale ngubiti na mabumunda kwa mama mchafuuu!
Mi pia kazi sina...
Kama amesoma st. Government lazima anazijua, ila kama kasoma Arusha school hazijui asee!Fanya haraka basi nkungojelea hapa kwa kina Njeree! Na wewe kesho zamu yako kununua visheti na barafu za ubuyu...
Hivi Gee, unazijua ngubiti wewe?
Fanya haraka basi nkungojelea hapa kwa kina Njeree! Na wewe kesho zamu yako kununua visheti na barafu za ubuyu...
Hivi Gee, unazijua ngubiti wewe?
Kama amesoma st. Government lazima anazijua, ila kama kasoma Arusha school hazijui asee!
Nipeperushie nione kama ni mwenzetu.Hahaha we Sweetlady nitakupeperushia wimbo lazima unijue kuwa ni wa Tandale
Usisahau kumwambia kuwa haziliwi na watu wenye meno mabovu manake ni ngumu balaa!hahahaaa SL mwache tuende naye, kwanza hela si zangu...lol
Gee wewe utakua wa ile shule ya kule Burka kwa wadhungu ...lol
Ngubiti ni goody goody ambazo ni homemade, kitu kinatengenezwa kwa sukari guru ya kuchemsha...lol!
Nikupe recipe?
hahahaaa SL mwache tuende naye, kwanza heka si zangu...lol
Gee wewe utakua wa ile shule ya kule Burka kwa wadhungu ...lol
Ngubiti ni goody goody ambazo ni homemade, kitu kinatengenezwa kwa sukari guru ya kuchemsha...lol!
Nikupe recipe?
Ngubiti sizijui mie mezowea half cakes...lol
Nipeperushie nione kama ni mwenzetu.
na mikate ya kumimina ...lol!!
Ha ha ha! Kashata za chicha la nazi afu zimetiwa food colour....ukitafuna sana sukari inaisha unabaki na machicha yasiyokuwa na sukari lol... Sasa wewe hujaiba afu unataka kuja kula hela zetu? Labda na wewe uibe mchele na mafuta kwenu tuje tujipikilishe.. Mie ntaiba mkaa,Duh! Sante Bee...mi nimezowea kashata za chicha, hizo goody goody za sukari guru zimenipita
SL ananichawia namuona...hataki nifaidi hela yako
Duh! Sante Bee...mi nimezowea kashata za chicha, hizo goody goody za sukari guru zimenipita
SL ananichawia namuona...hataki nifaidi hela yako
Ha ha ha! Kashata za chicha la nazi afu zimetiwa food colour....ukitafuna sana sukari inaisha unabaki na machicha yasiyokuwa na sukari lol... Sasa wewe hujaiba afu unataka kuja kula hela zetu? Labda na wewe uibe mchele na mafuta kwenu tuje tujipikilishe.. Mie ntaiba mkaa,
Bee wewe utapuliza moto.
Hehehe! Linanambia we mwenzetu wa damu kabisa!Inaitwa mkodombwe!
Jina tu linakwambiaje?