Kaka mie nakusalimu tu, nimepita hapa nikaona sio vema nkaondoka bila kukupa Hi....Acha ujinga wewe, mbona ushachezwa?, shida nini?!
Utaacha lini mathreads ya chekechea haya?...huna hoja kacheze rede! Kwanini uonyeshe watu akili zako zinapogotea?
Kama ulitaka watu waone profile yako si uweke link tu, au kuwashawishi watu watembelee?...fyeeee!
Tushakuchoka!
Acha ujinga wewe, mbona ushachezwa?, shida nini?!

Ona threads zake!:
Nimemuona mwana jf kitaa
jf chit chat taaaaamu!
Supa star wa JF
Nahitaj msaada mpenzi wangu mvivu saana
unataka utoke wkend na mpoleeee?
padri wa jf mzush, mapenzi bado yanisumbua
Kaanze upya!
Salam bila hela ya nini sasa?Kaka mie nakusalimu tu, nimepita hapa nikaona sio vema nkaondoka bila kukupa Hi....
Eti Gee, hivi huku chit chat panatakiwa kuwaje?Duh! Mkuu it's not that serious
Acha ujinga wewe, mbona ushachezwa?, shida nini?!
Utaacha lini mathreads ya chekechea haya?...huna hoja kacheze rede! Kwanini uonyeshe watu akili zako zinapogotea?
Kama ulitaka watu waone profile yako si uweke link tu, au kuwashawishi watu watembelee?...fyeeee!
Tushakuchoka!
Ona threads zake!:
Nimemuona mwana jf kitaa
jf chit chat taaaaamu!
Supa star wa JF
Nahitaj msaada mpenzi wangu mvivu saana
unataka utoke wkend na mpoleeee?
padri wa jf mzush, mapenzi bado yanisumbua
Kaanze upya!
Eti Gee, hivi huku chit chat panatakiwa kuwaje?
Kwanza chit chat ndo nini?
Lol....kumbe!Huku kila utumbo unakubalika ...full nzi :]
Kaa nini unapotezea tu
jfaglie shost weka na yako miwatu povu itoke zaid