Profile la kijana mkataa ndoa

Oeni vijana mpate changamoto maisha ya ndoa yana raha Na karaha ila ni karaha za kukuchangamsha unless kama ukimfumania muache ila kama ni tabia mbaya basis muelekeze ataelewa tu Na we we una mapungufu..nakupenda mama kija Wangu

NB:sijafunga harusi official ila naishi naye mwaka Wa Pili sasa kuna kipindi anasiakiaga habari za Mimi kumcheat ila ananivumilia sana Na pombe zangu duh
 
Nina marafiki na majirani wameoa, anamuita mkewe "wewe"
dah hua nacheka sana chini chini
ndiyo wanaoongoza kuwa na michepuko, ndiyo wanaoongoza kumeza ARV

hua nacheka sana, nasema hihihihi mmeyakanyaga
Sasa wewe mkewe kakulalamikia kwa nini anaitwa 'wewe'....unajuaje kama mkewe ndio anapenda kuitwa hivyo??

Kuwa na michepuko kwani nyie msiooa hamna michepuko???, tena nyie msiooa ndio mnaendekeza uasherati na hizo ARV ni nyie ndio mnaoongoza kumeza,
 
Hakuna unachokijua….#Usiwapangie
 

Basi sina haja ya kuandika chochote zaidi ya "Ulicho comment hapo ni K.vant tu"

#YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…