Professorial ya Janab Y Mohamed

Professorial ya Janab Y Mohamed

Watika

Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
19
Reaction score
18
Ni kweli janabi ametoa mchango mkubwa kwa nchi.. Ni njema kukafahamishana na kuweka record sawa. Kuna mtu yoyote anajua Professorial ya Prof Mohamed Janab. Nimejaribu kutafuta machapisho yake google sijapata.

Nikaingia research gate nikapata ana machapisho 20. Je haya machapisho 20 ndio yaliompa uprofessor na alipatia wapi. Mwnye uelewa tafadhari. Ni muhim kuweka record Kwa manufaa ya nchi yetu.

Mind you hata mashara wake utakuwa ni level ya uprofessor.
Shukrani
IMG_20221003_003139.jpg
 
Wale wafuasi wa .......hawataki kumsikia huyu kiungo mkata umeme
 
Na wewe ungemuomba huyo mungu wako mweupe ulioaminishwa na wale wavamizi wa afrika akuchague wewe ukamuwakilishe kama papa mweusi.....
Unateseka ukiwa pande zipi wewe mfuasi wa an illiterate cave guy?
 
Back
Top Bottom