Ndugu asante kwakusubutu kuiambia umma madudu yaliopo hapo UDSM. mimi pia nimesoma hapo nilipata hiyo kero sana.
nilikaa hall 3, then hall 6 nikamalizia hall 5 ghorofa ya tano room number sizikumbuki ila miaka imepita sihaba.
Ila kwa ushauri wangu uongozi ufanye maintenance kwani nihatari sana. kwahi hall two na five kuna vipisi vyo concrete au vipisi vya tofali vinadondoka kutoka juu , nakikimkuta mtu anayepita pale chini sihatari sana wajameni.
Naamini wanao jua mazingira ya hall 2 na five atamuunga mkono mtoa hoja.
Poleni sana wana UDSM.
siombei mabaya yatokee lakini hayo majengo chakavu yataporomoka karibuni
hata lifti yenyewe sasa haifanyi kazi kabisa, na concrete zinaendelea kuanguka tu kila leomkuuu mim nilikoswa koswa na concrete pale hall2 mwaka 2007 nikiwa 1rst year sikutgemea mpaka na graduate pawe vile vile lakin mpaka leo hamna walicho repair zaiidi ya lift
Ndugu asante kwakusubutu kuiambia umma madudu yaliopo hapo UDSM. mimi pia nimesoma hapo nilipata hiyo kero sana.
nilikaa hall 3, then hall 6 nikamalizia hall 5 ghorofa ya tano room number sizikumbuki ila miaka imepita sihaba.
Ila kwa ushauri wangu uongozi ufanye maintenance kwani nihatari sana. kwahi hall two na five kuna vipisi vyo concrete au vipisi vya tofali vinadondoka kutoka juu , nakikimkuta mtu anayepita pale chini sihatari sana wajameni.
Naamini wanao jua mazingira ya hall 2 na five atamuunga mkono mtoa hoja.
Poleni sana wana UDSM.
mkuuu mim nilikoswa koswa na concrete pale hall2 mwaka 2007 nikiwa 1rst year sikutgemea mpaka na graduate pawe vile vile lakin mpaka leo hamna walicho repair zaiidi ya lift
Undergraduates mtatimuliwa wote siku si nyingi! Pale wanataka postgraduates tu. Nyie undergraduate utoto umezidi. Utaendaje kunya kwenye choo kisicho na taa eti unalenga shimo kwa hisia? Watu wa Masters na PhD hawawezi kufanya ushetani kama huo