Professor Lioba Moshi arudi Tanzania!

Nakubaliana kabisa kuwa watu kama wamezaliwa Tanzania wao ni Watanzania na kama wamesomeshwa kwa pesa zetu basi kuna haja ya kurudisha na kuwatumikia watanzania na sio watu kwenda zao na kupoteza rasilimali za Taifa la Tanzania
 
Tunahitaji mchango wenu katika Taifa la Tanzania ndugu zangu wasomi.

Suala sio kwamba wasomi hawataki kutoa mchango tanzania swala ni kwamba je wasomi mchango wao unahitajiwa tanzania. Kama usemi wako ulioandikwa chini wasomi huadhibiwa kwa kuongozwa na watu wasiojua kuongoza. Kimsingi hili ndio tatizo na kwa hulka za viongozi wetu Tanzania hawapendi kukosolewa wakiambiwa wamekosea mahala.

Ukiwa unawakosoa viongozi unaonekana adui mkubwa usiofaa kukaa karibu na wao. Tusijadili vitu kama hivi kwasababu pande zote mbili zina makosa serikali haiwataki wasomi na wasomi nao wengine wao huwa na tamaa ya maisha ya juu. But kwa wasomi mie sie walaumu kwasababu tunaenda shule ili tuwe na maisha mazuri na sio kusifiwa kuwa umesoma sana. Kama ungelitaka hivyo basi ungelisoma hadi kustaafu kwako.

Kimsingi tuwe wakweli hili jambo kwanza utendaji wa serikali ya tanzania ubadilike. Rushwa iondolewe, viongozi walafi waondoke, serikali iwe na uadilifu, zote hizi zinachangia kurudisha nyuma wasomi. Kuna Dr mmoja alimaliza PhD yake marekani akarudi kuripoti wizara ya Afya alipokuwa akifanya kazi. Kufika akaambiwa asante sana umerudi tutakutafutia nafasi. Akaa benchi miezi sita na mshahara wa laki mbili na nusu. Mwishoe akaenda zake South Africa ambapo alipata kazi nzuri tena baada ya kustuliwa na wenzie kuwa jamaa huko juu wanakuogopa usije ukawaengua nafasi zao. Unadhani mtu huyu atakuwa willing kurudi Tanzania kutumikia taifa lake.

Na usije kuhisi wanaofanya kazi nje hawajarudisha pesa za walipa kodi wengi wao huwa wanazilipa kwa kidogo kidogo hadi wanamaliza deni. sasa usilalamike kuwa wasomi wa nje wamesomeshwa na walipa kodi bali fatilia wangapi wamerudisha hizo pesa serikalini maana wasomi wengi ni watu wanauadilifu kwasababu wanalinda reputation zao.
 
Ni kweli kwa kiasi fulani lakini ukweli unabaki kuwa wengi wa wasomi wetu walisomeshwa kwa pesa za kodi zetu yaani wale wote walisoma Chuo kikuu Dar miaka ya 1960's and 1992 asilimia kubwa walipewa pesa na serikali yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom