Professor JK na maamuzi magumu!

Professor JK na maamuzi magumu!

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
841
Reaction score
283
jk.jpg
 
tusimusemee tusubiri kwani si mbali tutaelezwa
 
Ningekuwa na kipaji cha matusi huyu handsome boy wa Msoga mbona angenikoma!!!
 
Kwa ripoti ya piesii ilivyo, bora uchanganye na zako.
 
Mi naona hakuna tena kiongozi kama huyu kwa kila aina ya vituko na vimmbwenga usanii utulivu na msikivu na mtalii wa Dunia yote na hakutakuwa tena na kiongozi ambae ataweza kuivunja Recodi yake
 
hata tezi acHANGANYE NA LA...........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom