PROFESSOR JAY- NANG'ATUKA

Nonpartisan

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
281
250
Maneno aliyoandika msanii yanavyotafsirika kila siku na viongozi wetu awa Africa.

Verse 1
yeah
napiga goti natubu
kwa mungu wangu na jamii
nimefanya mambo mengi
kwa kutumia cheo
naamini cheo dhamana
nisamehe nisamehe
nang’atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
mwenyeenzi kumbuka na nafsi hii
napiga goti natubu daima nitakusihi
nang’atuka nimeshaikosea jamii
nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania
mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa
tangu nilipoomba kura kwenye ndio mzee
mkanipa na kusababsha uchumi ulegee
kura zikawa kula nikaishi kwa mlungula taratubu nikaanza kubadili mfumo na sura
nasisitiza sana masuala ya ajira
kumbe uongo nikaanza kugawa vyeo kwa hila
hata mashori wangu niliweka mataahira na kusababsha uongozi wangu upoteze dira...

 

Nonpartisan

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
281
250
Embu mwana janvi pitia maneno aliyoimba jamaa apo juu kwanini tusiwaenzi wasanii wetu kama hawa wakiwa bado wapo hai. Nyimbo hii itaishi milele
 

slimshedy

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,050
2,000
Namkubali sana pr j mashairi ya hio nyimbo yapo kichwani sjui hawa wa sasa eti naskia kunanyimbo inatwa kokoro sjui ndio nini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom