Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,563
Reaction score
46,519
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Geoffrey Mmari, amefariki dunia leo, Oktoba 11, 2026, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Wakati wa uhai wake, Profesa Mmari aliwahi pia kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na TURDACO.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa kadri zitakavyopatikana.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu, Masaki, Mtaa wa Mzinga Way, jijini Dar es Salaam.
 

Attachments

  • 1791745678034.jpg
    96.7 KB · Views: 2
He was my client at my clinic
I never knew his elite academic back ground.. r.i.p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…