Professor Assad: SGR feasibility study yake iko based kwenye kusafirisha nyanya

Huyu prof Uchwara ana maneno ya shombo utadhani ni kiongozi wa ngoma ya mchiriku ya wazaramo.

Hata nyumba yake mwenyewe imekosewakujengwa..

Yaani baada ya meko kumtoa ofisini, inaonekana alikasirika balaa,

Unapata wapi unasiri wa kusema SGR ni ya kusafirishia nyanya..

Muda utasema,

PROF Assad anafundisha MUM pale moro, ipo siku tutamwona kqenye SGR akienjoy safari.
Professor Assad nimekusikia tangu mwanzo mpaka mwisho nashukuru kwamba nilijitahidi kuzuia hisia zangu. Nimeshangaa kama wewe professor unadiscretic SGR project kwa kuwahadaa watanzania kwamba SGR project feasibility study yake iko based kwenye kusafirisha nyanya. Kweli reli ijengwe toka Dar mpaka Gitega (Burundi ) na (Kigali) Rwanda kwa ajili kusafirisha nyanya. Hata kama umetumwa kumchafua mtu umeshindwa kutumia akili zako unapayuka kama kasuku maneno ya kuambiwa na wanasiasa?
Hata kama hukuona hiyo feasibility study wewe msomi na mchumi wa level za juu kabisa unashidwa kutambua umuhimu wa SGR? Wewe nawe wa kubase analysis zako kwa kauli zilizokuwa zinatoka ili kuwafanya wananchi kawaida wa waone umuhumi wa SGR?

Kwa mtanzania wa kawaida ukimwambia hiii SGR ina manufaa kwako kwa sababu itakuwa inasafirisha mizigo ya Rwanda na Burundi hatakuelewa kwa sababu haoni yeye inamsadia vipi moja kwa moja. Kwa hiyo ilikuwa muhimu kabisa kuiaffiliate SGR na interest za mtu wa kawaida. Hapo ndipo viongozi wakawa wanatumia kauli kwamba SGR ina manufaa kwako kwa sababu itakuunganisha wewe kwenye masoko ya bidhaa zako haraka. Mfano unalima nyanya, vitunguu vinaweza kusafrishwa moja kwa moja kwa unafuu na muda mfupi na kuuzwa kwa bei nzuri. Hizi kauli zililenga kumfanya mtu wa wakawaida aone maslahi ya SGR kwake binafsi. Je ni kweli haya ndiyo malengo ya SGR?

Professor Assad anajua dhahiri kabisa SGR haijajengwa kwa ajili ya kusafirisha nyanya kama anavyowahadaa watanzania. Bali ameamua kujitoa ufahamu na kutumika na wanasiasa.

Professor Assad anadai hakuwahi kuona feasibility study ya SGR kwa hiyo kwake kama professor Mbobezi hakuona sababu ya kubrainstorm na kudraw inferences ili kujua umuhimu wa SGR kwa Taifa.

Wapo wachumi wa Kenya, hawajaona feasibility study ya SGR lakini nidhahiri wanatambua kwamba hii SGR ya Tanzania inakwenda kuipokonya Kenya Fursa za kiuchumi. SGR hii itaifanya Dar kuwa economic hub na siyo link tena. Asilimia kubwa ya Mizigo ya Rwanda, Burundi, DRC na Uganda na pengine hata Sudani Kusini kupitia Dar Port

Kwa kauli zake Professor Assad nimejiridhisha kwamba Hayati JPM hakukosea kumtangua. Kama professor unashindwa kusimamia ufahamu wako.? Unaongozwa na wanasiasa wenye maslahi yanayotishiwa na SGR.

Kifupi tu watanzania Prof Assad ni mchumi mbobezi, wala sina shaka na hilo. Kibaya tu Prof Assad alikuwa akitumia kukwamisha serikali ya JPM. Nathubutu kusema wakati mwingine alikuwa anatumika kuibua query za kihasibu kwenye riporti yake ili kuifanya serikali ya JPM ionekane ina rushwa na hivyo ikose legitimacy. Queries zenyewe alizozua zilikuwa ni hanging queries (unverified).

Kwa hizi kuponda SGR imetudhihirishia kuwa hauko pamoja nasi uko na maadui wa nchi yetu.
 
Prof assad ana hasira sana na Meko
Rwanda population 13million Burundi Burundi Population ni 12.5m unasemaje population ndogo. Wakati hiyo population ni karibia nusu ya Tanzania population.
 
Mbona mkuu hujaongelea feasibility study naona unatukana tu, anacho hoji professor ni utafiti unao onyesha kwamba Rwanda Burundi watatumia sgr yetu sio ya Kenya au Magari yao jiulize kwanini Uganda Burudi na Rwanda wanatumia kwa 70% port ya mombasa sio Dar es salaam? Sa babu hizo huenda zikafanya sgr yetu kua white elephant.

Jpm alishindwa kuezesha secta binafsi na biashara ya ndani kua na nguvu aka operate on assumption ya biashara za majirani ambao hana control over their decision, Raisi gani unachukia matajiri na keundekeza Wanyonge so parochial was Meko na washauri wake. Prof Asad iko professional sana Meko alitafuta political capital ila katuinguza kwenye hasara kubwa kama Taifa, unaua internal business kwa kujenga mega project projects zita tumika na wakina nani?
Jiwe basi tuu, ni mtanzania mwenzetu Ila alikuwa na maono ya hovyo Sana , pili hakutaka kushauriwa , unaingia kwenye mradi mzito kama ule ukiwa na option moja tuu , ikibounce , ?? Lazima usafirishe nyanya tuu, Jamaa katulaza njaa Kwa fikra za hovyo saana
 
Jpm hakupswa kua Raisi wa nchi hi alikurupuka sana ameturudisha nyuma kama miaka 10 kwa kutafuta umarufu wa kishamba. Huwezi kununua ndege cash, huwezi kuanzisha mradi mkubwa wa trioni 10 wakati wananchi wako wanalia kwa uchumi mbovu.
 
Jiwe alikuwa anajua kila kitu na ubaya alijiona yeye ndo mzalendo wa kila kitu yani
 
Mzee alikuwa anajua kila kitu, Ila kilichonishangaza ni kutumia feasibility study ya mwaka 1970 na Leo ni 2021 hawakujua kua vitu vimechange

Hapo ndiyo linaibuka swala la probably alikuwa na personal interests.

Miradi mingi aliyofanya inaonekana kulalamikiwa upigaji, na kwa vile hakuna aliyeruhusiwa kuongea, mambo yalikuwa yanaenda kimya kimya.
 
Mama atapitia atakujibu uteuzi uko krb
Professor Assad nimekusikia tangu mwanzo mpaka mwisho nashukuru kwamba nilijitahidi kuzuia hisia zangu. Nimeshangaa kama wewe professor unadiscretic SGR project kwa kuwahadaa watanzania kwamba SGR project feasibility study yake iko based kwenye kusafirisha nyanya. Kweli reli ijengwe toka Dar mpaka Gitega (Burundi ) na (Kigali) Rwanda kwa ajili kusafirisha nyanya. Hata kama umetumwa kumchafua mtu umeshindwa kutumia akili zako unapayuka kama kasuku maneno ya kuambiwa na wanasiasa?
Hata kama hukuona hiyo feasibility study wewe msomi na mchumi wa level za juu kabisa unashidwa kutambua umuhimu wa SGR? Wewe nawe wa kubase analysis zako kwa kauli zilizokuwa zinatoka ili kuwafanya wananchi kawaida wa waone umuhumi wa SGR?

Kwa mtanzania wa kawaida ukimwambia hiii SGR ina manufaa kwako kwa sababu itakuwa inasafirisha mizigo ya Rwanda na Burundi hatakuelewa kwa sababu haoni yeye inamsadia vipi moja kwa moja. Kwa hiyo ilikuwa muhimu kabisa kuiaffiliate SGR na interest za mtu wa kawaida. Hapo ndipo viongozi wakawa wanatumia kauli kwamba SGR ina manufaa kwako kwa sababu itakuunganisha wewe kwenye masoko ya bidhaa zako haraka. Mfano unalima nyanya, vitunguu vinaweza kusafrishwa moja kwa moja kwa unafuu na muda mfupi na kuuzwa kwa bei nzuri. Hizi kauli zililenga kumfanya mtu wa wakawaida aone maslahi ya SGR kwake binafsi. Je ni kweli haya ndiyo malengo ya SGR?

Professor Assad anajua dhahiri kabisa SGR haijajengwa kwa ajili ya kusafirisha nyanya kama anavyowahadaa watanzania. Bali ameamua kujitoa ufahamu na kutumika na wanasiasa.

Professor Assad anadai hakuwahi kuona feasibility study ya SGR kwa hiyo kwake kama professor Mbobezi hakuona sababu ya kubrainstorm na kudraw inferences ili kujua umuhimu wa SGR kwa Taifa.

Wapo wachumi wa Kenya, hawajaona feasibility study ya SGR lakini nidhahiri wanatambua kwamba hii SGR ya Tanzania inakwenda kuipokonya Kenya Fursa za kiuchumi. SGR hii itaifanya Dar kuwa economic hub na siyo link tena. Asilimia kubwa ya Mizigo ya Rwanda, Burundi, DRC na Uganda na pengine hata Sudani Kusini kupitia Dar Port

Kwa kauli zake Professor Assad nimejiridhisha kwamba Hayati JPM hakukosea kumtangua. Kama professor unashindwa kusimamia ufahamu wako.? Unaongozwa na wanasiasa wenye maslahi yanayotishiwa na SGR.

Kifupi tu watanzania Prof Assad ni mchumi mbobezi, wala sina shaka na hilo. Kibaya tu Prof Assad alikuwa akitumia kukwamisha serikali ya JPM. Nathubutu kusema wakati mwingine alikuwa anatumika kuibua query za kihasibu kwenye riporti yake ili kuifanya serikali ya JPM ionekane ina rushwa na hivyo ikose legitimacy. Queries zenyewe alizozua zilikuwa ni hanging queries (unverified).

Kwa hizi kuponda SGR imetudhihirishia kuwa hauko pamoja nasi uko na maadui wa nchi yetu.
 
Hapo ndiyo linaibuka swala la probably alikuwa na personal interests.

Miradi mingi aliyofanya inaonekana kulalamikiwa upigaji, na kwa vile hakuna aliyeruhusiwa kuongea, mambo yalikuwa yanaenda kimya kimya.
Labda huo upigaji na ten percent Ila ifike mahali tuwe na bunge imara linalosimamia interest za nchi na Raisi apunguziwe madaraka ya kuwa juu ya kila kitu maana hasara huwa ni kubwa kisa utashi na interest za mtu mmoja kwa nchi
 
Africa bado tuko na wale maadui aliowasema Nyerere: umaskini, magonjwa na ujinga.

Bila kufuta hayo hatuwezi kuwa na taasisi imara za kufanya maamuzi.

Leo hii tunashangilia CAG akisoma report, inaonekana inamchoma Magufuli, kuna watendaji ambao wanaguswa moja kwa moja ila hakuna atakayechukuliwa hatua na maisha yataendelea.

Miaka 2 au 3 mbele, CAG atakuja na report kama hii, sasa Magu atakuwa hayupo na ni system ya Mama itakuwa inaongoza, tutaulizana maswali kwamba nani chanzo. Ila chanzo kikuu ni uwajibikaji. Kila mtu anataka kujineemesha, hakuna anayejali wengine.
 
Jpm hakupswa kua Raisi wa nchi hi alikurupuka sana ameturudisha nyuma kama miaka 10 kwa kutafuta umarufu wa kishamba. Huwezi kununua ndege cash, huwezi kuanzisha mradi mkubwa wa trioni 10 wakati wananchi wako wanalia kwa uchumi mbovu.
NTIE NDO WANANCHI MNAOFIKILIA KULA NA KULALA.SASA MBONA SAMIA AMESEMA WAMEPANGA KUNUNUA NDEGE TANO NJE YA ZILE 11
 
Back
Top Bottom