Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 2,001
- 2,330
Professor Assad nimekusikia tangu mwanzo mpaka mwisho nashukuru kwamba nilijitahidi kuzuia hisia zangu. Nimeshangaa kama wewe professor unadiscretic SGR project kwa kuwahadaa watanzania kwamba SGR project feasibility study yake iko based kwenye kusafirisha nyanya. Kweli reli ijengwe toka Dar mpaka Gitega (Burundi ) na (Kigali) Rwanda kwa ajili kusafirisha nyanya. Hata kama umetumwa kumchafua mtu umeshindwa kutumia akili zako unapayuka kama kasuku maneno ya kuambiwa na wanasiasa?
Hata kama hukuona hiyo feasibility study wewe msomi na mchumi wa level za juu kabisa unashidwa kutambua umuhimu wa SGR? Wewe nawe wa kubase analysis zako kwa kauli zilizokuwa zinatoka ili kuwafanya wananchi kawaida wa waone umuhumi wa SGR?
Kwa mtanzania wa kawaida ukimwambia hiii SGR ina manufaa kwako kwa sababu itakuwa inasafirisha mizigo ya Rwanda na Burundi hatakuelewa kwa sababu haoni yeye inamsadia vipi moja kwa moja. Kwa hiyo ilikuwa muhimu kabisa kuiaffiliate SGR na interest za mtu wa kawaida. Hapo ndipo viongozi wakawa wanatumia kauli kwamba SGR ina manufaa kwako kwa sababu itakuunganisha wewe kwenye masoko ya bidhaa zako haraka. Mfano unalima nyanya, vitunguu vinaweza kusafrishwa moja kwa moja kwa unafuu na muda mfupi na kuuzwa kwa bei nzuri. Hizi kauli zililenga kumfanya mtu wa wakawaida aone maslahi ya SGR kwake binafsi. Je ni kweli haya ndiyo malengo ya SGR?
Professor Assad anajua dhahiri kabisa SGR haijajengwa kwa ajili ya kusafirisha nyanya kama anavyowahadaa watanzania. Bali ameamua kujitoa ufahamu na kutumika na wanasiasa.
Professor Assad anadai hakuwahi kuona feasibility study ya SGR kwa hiyo kwake kama professor Mbobezi hakuona sababu ya kubrainstorm na kudraw inferences ili kujua umuhimu wa SGR kwa Taifa.
Wapo wachumi wa Kenya, hawajaona feasibility study ya SGR lakini nidhahiri wanatambua kwamba hii SGR ya Tanzania inakwenda kuipokonya Kenya Fursa za kiuchumi. SGR hii itaifanya Dar kuwa economic hub na siyo link tena. Asilimia kubwa ya Mizigo ya Rwanda, Burundi, DRC na Uganda na pengine hata Sudani Kusini kupitia Dar Port
Kwa kauli zake Professor Assad nimejiridhisha kwamba Hayati JPM hakukosea kumtangua. Kama professor unashindwa kusimamia ufahamu wako.? Unaongozwa na wanasiasa wenye maslahi yanayotishiwa na SGR.
Kifupi tu watanzania Prof Assad ni mchumi mbobezi, wala sina shaka na hilo. Kibaya tu Prof Assad alikuwa akitumia kukwamisha serikali ya JPM. Nathubutu kusema wakati mwingine alikuwa anatumika kuibua query za kihasibu kwenye riporti yake ili kuifanya serikali ya JPM ionekane ina rushwa na hivyo ikose legitimacy. Queries zenyewe alizozua zilikuwa ni hanging queries (unverified).
Kwa hizi kuponda SGR imetudhihirishia kuwa hauko pamoja nasi uko na maadui wa nchi yetu.