Professor Anna Tibaijuka Appointed Director General of UN Office in Nairobi, Retaining Role as Executive Director of UN-Habitat

Status
Not open for further replies.

tafiti then jadili

Senior Member
Aug 24, 2006
123
20
Prof.Tibaijuka DG UN Office

2006-09-17 08:32:25
By Modestus Kessy, Arusha


Corrected grammar:

The Executive Director of the Nairobi-based UN Human Settlements Programme (UN-HABITAT), Professor Anna Tibaijuka, has been appointed Director General of the UN Office in Nairobi (UNON).

A statement from the UN office in Nairobi said on Friday that the UN Secretary General, Kofi Annan, stated that Tibaijuka, a Tanzanian, would still retain her current position.

Tibaijuka (pictured), the highest-ranking African woman in the United Nations system, has been the Executive Director of UN-Habitat since September 2000.

"As Director-General of the only UN headquarters in a developing country, Tibaijuka will be the senior-most United Nations official in Nairobi and will report directly to the UN Secretary-General," the statement said.

As the Secretary-General's official representative, the Director General serves as a direct link between the UN, the Kenyan government, and the extensive diplomatic community in Nairobi, and as the host of a wide variety of diplomatic gatherings and peace-building initiatives that take place in the capital.

In June 2005, Annan appointed Tibaijuka as his Special Envoy to study the scope of the Zimbabwean government's evictions of informal traders and people deemed to be squatting illegally.

The year before, British Prime Minister Tony Blair had invited Tibaijuka to be a member of the Commission for Africa, which he established to generate ideas and action to accelerate and sustain Africa's growth and development.
 
Hongera Mama, Prof. Tibaijuka

Tunakuombea kazi na afya njema
 
Kama kuna kitu ambacho kinaniumiza mpaka sasa hivi basi ni kuuawa kwa BAWATA. Huyu mama nitaendelea kumuheshimu kwa sana kwa kuja kitu mujawabu kwa matatizo ya kinamama. Aidha kwa kutokujua maana ya mambo au maslahi ya kisiasa, chombo hicho kimeuawa bila huruma. Nakupa hongera mama Tibaijuka kwa nafasi hiyo, na wale wanaosema mbona hujafanya lolote nyumbani waulize ulianzisha BAWATA imeishia wapi?
 
Hapana boss, chombo kiliuliwa ili kumpa nafasi Mama Mkapa kufanya vitu vyake, huyo mama aliondolewa kwa ajili hiyo tu!
 
Mzee Es,

Yaani ulitaka agombee urais? hebu tafiti watu aliokwenda nao habitati kama wewe si nshomile imetoka.
Fatilia watu aliokwenda nao na utueleze, ingekuwa hatari hapo ikulu
 
Ni kweli kabisa mzee ES nakubaliana nawe na ndio maana nilisema kuwa BAWATA iliuawa kwa ajjili ya ya interests za watu kwa kutojua maana. Nashukuru kwa kunifahamisha hilo la Mama Mkapa ambalo nilikuwa sijalifikiria.
 
Hivi karibuni katika kumuaga Prof. Shivji, Anna alisema kesi ya Bawata bado ipo na hataifuta mpaka aone mwisho wake. Cha zaidi alisema Bawata ni ya wanawake wa Tz na wala sio ya kwake. Aliahidi kuhakikisha kuwa bawata haifi akiwa hai!

She is absolutely a great woman!
 
Mzee Yombax2,

Nimekusikia mkuu, lakini haibadili uwezo alionao huyo mama kikazi, ninamjua kuwa ana nyodo na nini, lakini lazima tumpe heshima yake kuwa anao uwezo wa kuwa rais, yeye na mama Mongella wanao huo uwezo!
 
Naungana na wengine kumpa hongera...

Hata hivyo mbona kuna madai/tuhuma kuwa BAWATA ilikuwa kama chama cha siasa na si baraza la wanawake kama ilivyopaswa kuwa? Na zile 100m/- walizopewa na wafadhili ambazo matumizi yake mpaka leo hawakuweza kuyatolea ufafanuzi?!
Lakini wafadhili walishindwa kuzidai kwa vile na wao wangeumbuka kuhusu malengo ya kutoa fedha hizo!!
 
Kwani kuna ubaya gani hata kama kungalikuwa na ukweli kwamba ni Chama cha Siasa na hizo 100m kupewa ili ziwe na kazi ya Siasa ? Mbona leo Mkapa ananunu majumba SA na michango kadhaa ina miss lakini hakuna wa kuuliza ?Je hujui kwamba hata TAA mwanzoni ilikuwa ni movement tu kabla ya kuwa chama cha siasa ?
 
Mzeeshughuli Bwana,
Si ndiyo hata hii forum inapenda kujua kama ni kweli Mkapa kanunua hayo majumba na ni wazi wengi wetu hatupendezwi na hilo??
Suala siyo BAWATA kupewa pesa, bali kuliwa na wachache katika mtandao wake!
 
Bwana Admin na wengineo

Nakuwekea hapo chini CV ya mama Tibaijuka kwa mujibu wa tovuti ya UN HABITAT, she is excellent kwa kweli katika utendaji wake ingawa hakika watawala waliogopa mno ile taasisi ya BAWATA.

Personally nimekutana na mama Tibaijuka kikazi mara mbili hapa London na mara zote huwa anatema cheche haswa, she is a darling of the western press when it comes to urban settlements na nina makabrasha mawili mazito aliyowahi kunipatia on the state of the world housing kwa hakika tanzania na nchi nyinginezo tunaishi katika mazingira ya tabu sana, katika moja ya cheche zake amewahi kunieleza kuwa ikiwa tunachukua tafsiri ya nyumba na makazi kisheria basi a lot of viband in tanzania haviqualify kuitwa hivyo.

Kwa sasa tunahitaji muelekeo mpya wa kuboresha makazi nchini tanzania, wengi wetu hatufahamu the direct relevance ya nyumba na maendeleo, leo hii tanzania key workers wanahamishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ilhali hawajapewa nyumba ya kufikia unafikiri key worker [polisi, mwalimu,daktari, muuguzi nk] anaweza kweli kufanya kazi na hali he/she is living rough?!

Hakika hata mijini kuna matatizo makubwa sana ya nyumba, msongamano ni mkubwa na quality familly life ni ngumu sana kuiboost kwa sasa.

SOLUTIONS?

-Yes serikali nyingi za kiafrika hazina pesa lakini zina rasilimali ambazo nchi nyingine hamna ARDHI itumike vizuri, kuwepo na bajeti maalum ya kuboresha makazi na zitungwe sheria kali dhidi ya ukiukaji wake.

-Serikali haiwezi kusimamia au kuhakikisha makazi bora kwa kila raia at a go lakini inaweza kuhakikisha KEY WORKERS wanapata makazi ya kueleweka ili waweze kutenda kazi zao popote wanapopelekwa.

-Hivi sasa hali ilivyo ni kuwa ukipata pesa unakwenda ardhi unanunua kiwanja ukishalipia, unatafuta mchora ramani anakuchorea ramani then unaangalia fundi yupo wapi, aghalabu fundi huyu hana qualifications zozote za ujenzi anakujengea, ukitoka kazini unakwenda kusimamia nyumba yako!

huu ni ujima inabidi process nzima ya ujenzi iwe ni ya kueleweka through and through lazima kuanzishwe financing arrangements ''mortgage style'' tanzania ili mtu asiwe anajijengea tu hovyo hovyo kuwe na established companies linked with banks ambazo unawakabidhi ardhi yako wanajenga to your specifications ili kuepuka ujenzi holela na hii itakupa wewe relief ya kujua yupi wa kumsue mambo yakienda mrama....

Naam mama Anna alinipa shule kubwa hapa patajaa.... CV is posted below:

Corrected grammar:

ABOUT MRS. TIBAIJUKA: CURRICULUM VITAE

Anna Kajumulo TIBAIJUKA (DSc. Agroeconomics)
UN Under Secretary General and Executive Director, UN-HABITAT
Officer in charge, United Nations Office at Nairobi (UNON)

Born to smallholder banana-coffee farmers in Muleba, Tanzania and educated at the Swedish University of Agricultural Science in Uppsala, Anna Tibaijuka is the highest-ranking African woman in the UN system. She was appointed Member of the Commission for Africa established by UK Prime Minister Tony Blair, which finally led to the cancellation of multilateral debt for several African countries by the 2005 G8 summit at Glen Eagles, Scotland.

In July 2005, the Secretary General appointed Mrs. Tibaijuka as his Special Envoy on Human Settlements Issues in Zimbabwe, following massive evictions of the poor in urban areas as a result of a City Clean up gone awry. Effective April 1, 2006, Mrs. Tibaijuka is designated by the Secretary General as Officer in Charge of the United Nations Office at Nairobi (UNON), the only UN headquarters in Africa and the developing world. She is currently a member of the WHO Commission on the Social Determinants of Health and also a Member of the Advisory Board on the multi-donor sponsored Commission on the Legal Empowerment of the Poor, co-chaired by Ms. Madeleine Albright (former US Secretary of State) and Chilean economist Hernando de Soto.

Mrs. Tibaijuka joined the United Nations Conference on Trade and Development, UNCTAD, in Geneva, in 1998 as Director and Special Coordinator for the Least Developed, Landlocked and Island developing countries. She was in charge of capacity building in their trade negotiations in the WTO and managed to assist LDCs, for the first time ever, to forge a coherent and united negotiating position for their special trade interests.

In July 2000, she was appointed by Secretary General Kofi Annan as Assistant Secretary General and Executive Director of the former United Nations Centre for Human Settlements (UNCHS), the UN agency for the built-up environment and urban development headquartered in Nairobi, Kenya. She is credited with raising the awareness of the world to the ever-increasing challenge of chaotic urbanization, focusing the old habitat centre's strategic vision and mission, turning around its dismal performance and management, raising its profile and image, and restoring donor confidence, all leading to its upgrading into a full-fledged United Nations Programme on Human Settlements (UN-HABITAT) by the General Assembly in December 2001. She was in turn elected by the General Assembly as the first Executive Director of the new UN-HABITAT program in December 2002 at the level of Under Secretary General.

Prior to joining the UN, Dr. Tibaijuka had a career in academics as a Professor of Economics at the University of Dar es Salaam, Tanzania. She is the author of various books and research papers on agriculture and rural development, farming systems, food policy, agricultural marketing and trade, sustainable development, social services delivery, gender and land issues, and environmental economics. She was an active member of the civil society and the women's movement.

In 1996, she founded the Barbro Johannson Girls' Education Trust (Joha Trust), which advocates for quality girls' education in Tanzania and Africa and operates a model secondary school for poor girls, mostly orphans. She is also a patron of the Tanzania Young Entrepreneurs Initiative and serves as a Director in several private companies in Tanzania. Additionally, she is a member of various professional associations and has participated in UN world summits such as the Beijing Women Conference, the Copenhagen Social Summit, Habitat II in Istanbul, and the Food Summit in Rome. She has won several awards, including honorary Doctorate degrees from the University of McGill in Canada, University College London, and Herriot Watt in Scotland. She is also a Foreign Member of the Royal Swedish Academy of Agriculture and Forestry, as well as CIAT. Mrs. Tibaijuka is a widow with 5 children, one of whom is adopted.
 
Naam! Tunashukuru kwa hiyo CV. Truly, Tanzania should be proud to have this lady. I think she is our ambassador in many ways! God bless this mama. I hope she will one day turn home and make her direct contribution in turning around our miseries. Kama watu watampa nafasi, maana nchi hii wakati mwingine sifa ni kikwazo, ndo unakuwa hutakiwi kabisa!
 
Habari kutoka UN, huko NY na Geneva zinasema kuwa Mama Tibaijuka, ameingia katika matatizo makubwa na hata pia kuliingiza taifa letu kwenye aibu kubwa baada ya mataifa mengi wanchama wa umoja huo kulalalmika rasmi, yaani officially, kwa ofisi ya katibu mkuu wa UN, kwamba Mama huyo ni mkabila, kutokana na kuwaajiri wafanyakazi wengi katika umoja huo wa kutoka kabila lake la wahaya!

Katika kujaribu kulinusuru jina lake na la taifa letu, Mama huyo ameanza kampeni kubwa ya kujaribu kujisafisha na pia kuiomba serikali yetu, kuingilia kati kwa kuzitaka balozi zetu za Geneva, na NY kuanzisha kampen maalumu kwa ajili ya kulisafisha jina lake kwenye jumuiya hiyo ya kimataifa,

Baadhi ya maofisa wa ofisi hizo wameonyesha kushtushwa sana na habari hizo ambazo wamedai kuzifahamu toka siku nyingi kuwa ni tabia ya Mama huyo kuwa MKABILA, na wakauliza watamtetea vipi wakati wakijua wazi kuwa hayo malalamiko ni ya kweli, wengi wao wamesema ilikuwa ni the matter of time kabla haijafahamika rasmi,

lakini wamesema kuwa watamsaidia kujaribu kulisafisha jina lake ili kuwaokoa viongozi wa taifa letu in the future watakaojaribu kuomba ajira huko UN ili wasije wakakosa nafasi kutokana na kumbu kumbu hiyo mbaya ya ukabila, na wamesema kwamba they were shocked kuona majuzi tu akimuajiri nduguye kuwa msaidizi wake baada ya kufukuzwa wizara ya foreign bongo kutokana na uzembe na incompetence kazini,

Mama Tibaijuka, I am very disappointed na hii charge, yaani ningeelewa kuwa wanakusingizia kuwa ni mtaifa, kwamba unaajiri wa-Tanzania tu, ungekuwa our National Hero! Lakini hata watu wa kimataifa wamegundua kuwa unaajiri watu wa kabila lako, wasiokuwa na uwezo, tatizo ambalo tunalilalamikia kabila kila leo hapa bongo, ni aibu isiyo kifani na wala isiyosemeka. Maofisa wa foreign wanasema ni tabia yako siku zote sasa utajiteteaje? Na wataliteteaje taifa letu huko UN? Jamani hizi tabia muache ni aibu kwa taifa letu! Mimi nilikuwa mmoja wa wale tuliokuwa tunaamini kuwa unaweza kuwa rais wa bongo, kumbe ni bomu?

Yaaani nasikia kuwa hata koti lako mwenyewe eti huwezi kuvaa mpaka uvalishwe na wasaidizi wako tena mbele za wageni, jamani hivi nyinyi watu wengine mnatoka dunia gani ambako hakuna binadamu? Ulichonacho cha ajabu mpaka ufanye hivi vituko ni nini? Mbona rais Jk anavaa koti lake mwenyewe wewe kulikoni ni nini? Yes, maana hiyo ni moja kati ya malalmiko yalioorodheshwa kwamba huna utu?
 
Mzee Es,

Mama Mongella kuwa rais?... hata sina la kusema.... nayaacha kama yalivyo. Kupata kura Ukerewe penyewe kaponea chupuchupu kwa asilimia 51 zilizopotoshwa hazijulikani.

Hata hivyo, Anna Tibaijuka kupelekwa Nairobi ndio kesha toka hivyo yaani hana tena sauti nchini. Huu mchezo aliuanza JKN kuwaondoa nguvu wote wenye sauti na uwezo ndani.

Muulizeni Sarakikya, je anasikika tena!.. This is the guy who can lead. Wote waliokwenda naye Makelele wanafahamu na hata waliokuwa Israel lakini ndio hivyo kesha kuwa mbachao. Na Mama Anna ndio imetokaa atawekwa huko kwa miaka kumi ijayo - no one will remember her!
 
Nimesikia bro, nasikia mshikaji Kamando tayari alikuwa karibu amtoe kwenye ubunge, ila ikatumika nguvu ya giza ili mama apite!
 
Mzee ES,

Kama huo UKABILA ni kweli basi ni aibu na hasara sana kwetu sote Watanzania. Kuna watu wasioweza kuacha UKABILA. Sijui kama Mama Tibaijuka ni mmoja wao, lakini inawezekana.

Mzee ES, kama una uwezo wa kupata idadi ya watu alioajiri Mama Tibaijuka tangu aende Nairobi, na wangapi kati yao ni kabila lake, basi naomba utuwekee ili tuainishe wenyewe tuone kama kuna dalili za UKABILA. I know it is a big ask, but we need some evidence.

Vile vile, kama kuna mwenye website zinazoonyesha wafanyakazi wa HABITAT na wa Ofisi ya UN Nairobi kwa ujumla, basi naomba atuwekee ili tuchanganue majina yaliyopo.

Augustine Moshi
 
Mzee Moshi,

Heshima yako mkuu, mimi ni masikio kwenye ardhi wewe huko majuu lete evidence za kuipinga hii hoja maana uko karibu naye huko,

lakini tutazifuatlia zaidi na kuziweka hapa hapa forum, yaani mawe tuuuu na kulipua mabomu, ndio maana hasa ya bulogu!
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom