PROFESSOR Anatafuta Kazi

PROFESSOR Anatafuta Kazi

Dah nasikitika kuona prof anatia aibu kiasi hiki kutojua michongo au organizati non mpaka akutume ww
 
Asanteni kwa ushirikiano, kuna member hapa jf amesaidia sana. Nimempa cv leo baba mdogo alienda kwa mazungumzo ktk intern org fulani. Ubarikiwe sana mkuu... LONG LIVE JF
 
Nina baba yangu mdogo ni Professor, amestaafu pale UDSM ni Professor alikuwa anafundisha POLITICAL SCIENCE.

Baada ya kustaafu amepewa mkataba wa miaka miwili ambapo anakuwa akifanya kazi kama part time hivyo muda mwingi anakuwa free, hivyo anahitaji kazi ya kumuweka busy.

Endapo unafaham international organization yeyote ile iwe ya kiserikali au isiyo ya kiserikali ambayo wanaweza kumchukua toa suggestion then mimi nitamfahamisha wakuu.

Asanteni

If he is a renown and reputable professor, mwambie atume vyeti vyake au aende physically St Augustine University of Tanzania (SAUT) huko atapata kazi.
 
anaziba nafasi za chipukizi.
arudi kijijini akalime, au hapafikiki?
hana aibu??? mtu mzima hovyoooo!!!! anacheza kimamamamaaa..
 
Asanteni kwa ushirikiano, kuna member hapa jf amesaidia sana. Nimempa cv leo baba mdogo alienda kwa mazungumzo ktk intern org fulani. Ubarikiwe sana mkuu... LONG LIVE JF

Idumu JF nimeshangaa sana kuona kuna wajinga wadogo wadogo wanarudha vijembe kisa ni wivu tu. Tena wivu wa kike
 
Back
Top Bottom