Profesa Safari yuko wapi?

kwa kawaida watu wenye frustrations huwa wanashinda bar, mtafute anga hizo!

Sikweli kwa ninavyomjua Professor Safar sio mlevi ila anendelea na shughulizake za uwakili na uandishi wa vitabu hasa vya sheria na yupo katika ofisi yake hapo mtaa wa samora jengo la Tanzania Publishers ghorofa ya kwanza
 
Humjui Safari wewe kaa kando!
 
Sasa mabishano ya nini, la muhimu fuatilia alikokusema uone kama amesema ukweli au la ndipo useme anachotaka kusema basi!
 
Sikweli kwa ninavyomjua Professor Safar sio mlevi ila anendelea na shughulizake za uwakili na uandishi wa vitabu hasa vya sheria na yupo katika ofisi yake hapo mtaa wa samora jengo la Tanzania Publishers ghorofa ya kwanza

Ofisi hiyo ya mtaa wa Samora inaitwa Tanzania Publishing House!!
 
Kwa miaka mingi Prof safari alikuwa ni mmoja ya wanaharakati na wasomi waliokuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya watz.
Kwa mfano. wakati wa Kupitishwa Sheria ya Kuzuia Ugaidi, ni miongoni mwa wasomi waliokuwa mbele kupinga swala hili mbele kupinga wakiongozana na wasomi wa Kiislam na wanaharakati wengine kama Prof NJOZI , Marehemu Haroub Othman na wengine. Ni miongoni mwa mawakili maarufu wanaotetea haki za waislam nchini huku bado akiwa mwanasiasa. Kwa mfanio Kesi ya Kiwanja cha kariako na kesi za sheikh Ponda Issa Ponda na nyegine nyingi
Alikuwa akipata nafasi sana kuongea kwenye vyombo vya habari kuzungumzia mustkabli wa taifa kwa jamii ya kiislam huku pia akiwa Mwanachama na kiongozi Mkubwa ndani ya CUF.
Lakini tangu ainge Chadema Mtanzania huyu Simsikii hata katika maswali ya MSINGI ya NECTA na mengine ambayo wasomi kadhaa aliokuwa nao kabla ya kujiunga chadema wanayajaribu kuyazungumza.
Jee hana uhuru tena?CHADEMA HAINA UVUMILIVU NA JAMII YA KIISLAM?

hebu tujikumbeshe hapa wakati wa UHAI WAKE wa KIIMANI
http://www.islamtanzania.org/an-nuur2/205/205-2.htm
 
Malaria Sugu unahangaika sana udini unakutesa sana CDM ndio inakumaliza... kwa nini usiwaze mambo mengine kila siku kubadili ID pole sana
 
Kwa miaka mingi Prof safari alikuwa ni mmoja ya wanaharakati na wasomi waliokuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya watz.
Kwa mfano. wakati wa Kupitishwa Sheria ya Kuzuia Ugaidi, ni miongoni mwa wasomi waliokuwa mbele kupinga swala hili mbele kupinga wakiongozana na wasomi wa Kiislam na wanaharakati wengine kama Prof NJOZI , Marehemu Haroub Othman na wengine. Ni miongoni mwa mawakili maarufu wanaotetea haki za waislam nchini huku bado akiwa mwanasiasa. Kwa mfanio Kesi ya Kiwanja cha kariako na kesi za sheikh Ponda Issa Ponda na nyegine nyingi
Alikuwa akipata nafasi sana kuongea kwenye vyombo vya habari kuzungumzia mustkabli wa taifa kwa jamii ya kiislam huku pia akiwa Mwanachama na kiongozi Mkubwa ndani ya CUF.
Lakini tangu ainge Chadema Mtanzania huyu Simsikii hata katika maswali ya MSINGI ya NECTA na mengine ambayo wasomi kadhaa aliokuwa nao kabla ya kujiunga chadema wanayajaribu kuyazungumza.
Jee hana uhuru tena?
alinunuliwa na nyinyiemu ili awe kimya,hajanyimwa kuendeleza ukombozi.
 
Mkuu, ungeuliza hilo swali la msingi bila kuingiza udini ungekuwa na hoja ya nguvu sana. Umeboronga tu ulipoanza kuingiza maswala ya udini kwenye hoja yako.

Btw, mkuu una uhusiano wowote na MalaliaSugu? Yaani unavyoongea ni Kama yeye kabisa!
 
Yuko bize na kesi mbalimbali, kuwa hajaonekana labda hajaona jambo ambalo anapaswa kulitolea kauli, ila kwa sasa yuipo kipindi cha kiswahili tbc
 
Ajira serikalini:- waislam wanaonewa
Mitihani/NECTA:- waislam wanafelishwa
Muungano:- waislam wanaonewa
Sensa:- waislam wamenyimwa ombi la kuwepo dini kama kigezo kimojawapo
Ndani ya CHADEMA:-waislam wanaonewa
Siku za mapumziko(Jumamosi/Jumapili) :- waislam wanaonewa
Bungeni:- wabunge waislam ni wachache
Ndani ya Jamii Forums:- waislam wanaonewa
Katiba mpya:-.........
Mahakama ya Kadhi:-................
MoU:-...................

Unaweza kuandika list ndefu mpaka vidole vikauma...Kama Mwingira wa Efatha ameweza kuanzisha bank, inakuwaje hawa wenzetu wenye 'Mfumo Kamili wa Maisha' uliokuwapo tangu enzi za mababu na mababu wanaishia kulalamika tu?kila kitu kulalamika tu? Kiukweli mimi naona kuna kasoro kubwa sana kwenye huu unaoitwa MFUMO KAMILI WA MAISHA...
 
Kwa miaka mingi Prof safari alikuwa ni mmoja ya wanaharakati na wasomi waliokuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya watz.
Kwa mfano. wakati wa Kupitishwa Sheria ya Kuzuia Ugaidi, ni miongoni mwa wasomi waliokuwa mbele kupinga swala hili mbele kupinga wakiongozana na wasomi wa Kiislam na wanaharakati wengine kama Prof NJOZI , Marehemu Haroub Othman na wengine. Ni miongoni mwa mawakili maarufu wanaotetea haki za waislam nchini huku bado akiwa mwanasiasa. Kwa mfanio Kesi ya Kiwanja cha kariako na kesi za sheikh Ponda Issa Ponda na nyegine nyingi
Alikuwa akipata nafasi sana kuongea kwenye vyombo vya habari kuzungumzia mustkabli wa taifa kwa jamii ya kiislam huku pia akiwa Mwanachama na kiongozi Mkubwa ndani ya CUF.
Lakini tangu ainge Chadema Mtanzania huyu Simsikii hata katika maswali ya MSINGI ya NECTA na mengine ambayo wasomi kadhaa aliokuwa nao kabla ya kujiunga chadema wanayajaribu kuyazungumza.
Jee hana uhuru tena?CHADEMA HAINA UVUMILIVU NA JAMII YA KIISLAM?

hebu tujikumbeshe hapa wakati wa UHAI WAKE wa KIIMANI
An-nuur Na. 205

Naona umejiunga JF mahususi utume hii post haya tumeisoma kwa heri bana!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom