Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

https://www.facebook.com/
Kama kweli ujenzi huo umepitwa na wakati Ethiopia isinge thubutu kufanya maamuzi magumu kiasi ambacho umepelekea kugombana na Misri Hali iliyopelekea kuwa na vuguvuga la Vita.. @ProfesaMuongo
 
Reactions: Ame
CV Kali + ufisadi = propesa Muongo!! Ufisadi umemharibu!! Anataka kutuingiza mkenge!
 
IProf anadanganya. Thermal plants including gas ones, are known for being expensive in maintaining them.
Hydro power plants initial cost is massive. Running cost is very cost effective.
Prof Muhongo au Prof Muongo? Muda utaongea
Muda ulishaongea tayari: prof Muh*ngo = Propesa Muongo!!
 
Dunia nzima inaenda kwenye nuclear, gas na solar. Sisi bado tumegomea kwenye maji
Uko nyuma ya wakati!! Dunia inaachana na nuclear power taratibu na kutafuta vyanzo vingine. Sababu kubwa ni kuwa Nuclear power ni adui mkubwa mno wa mazingira! Waulize Japan na Urusi watakuambia! Muda huu ujerumani hataki hata kusikia habari ya umeme was nuclear. Wameshaweka nakakati was hatimaye kuachana kabisa na chanzo hicho.
 
SSH ni dhaifu ndio maana majizi yote yapo busy kumshauri, ukiona mtu anakushauri ujinga kwa uhuru kabisa ujue anadharau uwezo wa akili. Tutegemee EPA, ESCROW , RICHMOND, IPTL na mengineyo mengi ndani ya hii miaka ya huyu mama.
Mama ajitenge nao kwa vitendo ili hawa wapiga dili na madalali wakae kimya ...
 
HUYU MUHONGO ANADHANI TUMEMSAHAU KWENYE SCANDAL YA ESCROW HAWA NDIO WALE AMBAO JPM ALIWADHIBITI KWA HIYO NDIO WANAHANGAIKA KUMTENGENEZEA IMAGE MBAYA LAKINI SISI WANANCHI TULIMWELEWA NA BADO TUTAENDELEA KUMWELEWA JPM HATA KAMA AMETUTOKA BADO MUHONGO HAWEZI KUSIMAMA MZANI MMOJA NA JPM WATUACHE WASIJICHOSHE KUMCHAFUA
 
Umeandika vizuri sana mkuu
 
Mama weeeh . . . tumeshagusanisha hasi na chanya. Tusubiri tu matokeo yake
 
Usidanganyike na CV

Anaweza pia kuwa bonge la mchimbachumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…