Profesa Ludovick Kinabo na Dr. Joyce Ndalichako wasikose wizara ya Elimu

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,456
Huyu professa Ludovick Kinabo yuko pale yule Udom ni Dvc-Arc(Deputy vice councillor Academic,research and consultant), hana longolongo yuko serious na nimchapa kazi.

Dr Joyce ndalichako kipindi yuko necta aliweza kudhibiti wezi Wa mitihani lakini pia alipandisha kiwango cha Elimu Tanzania.

Ombi langu kwa Magufuli,asiwaache Hawa watu ni mhimu sana katika kuinua Elimu yetu ya Tanzania
 
Dr.Ndalichako atosha,tatizo ya jpm ni kichwa ngumu mno,hasikiliz ushaur yule,alipiga pushup tukafikir atatusikiliza maon yetu.
 
peleka mbege zako,muache mahufl afanye kazi yake,ndalichako ameahidiwa uzee wa kanisa
 
Dr.Faustine Ndugulile Mb kigambon afikiriwe. She watu wa Dsm kwny Cabinet hatuna hata Naibu waziri wakati 70% ya pato la Serikal linatoka hapa.
 
Kumbuka ya Kwamba Rais, Mawaziri almost wote Na Makatibu wakuu wa Wizara Wanaishi Dar. Hivyo swala la Dar Kukosa

Waziri au Naibu waziri Halina Mashiko.Kwa ufupi ni Kwamba Dar Ndio Tanzania Na Maslahi yake Ni Mapana wanapokuwa

Wabunge na Mawaziri Wanadiscuss Issues.
 
msijali. nyie mnaye magufuli japokuwa hamkumchagua. huyo atawawakilisha vyema kabisa.

Dr.Faustine Ndugulile Mb kigambon afikiriwe. She watu wa Dsm kwny Cabinet hatuna hata Naibu waziri wakati 70% ya pato la Serikal linatoka hapa.
 
Mimi siamini kama kweli kulikua na ubaguzi sema alikua ni mtu wa msimamo sana na hapa naona Elimu itanyooka
 
ndalichako-kgm
kinabo- Moshi
Hawa watu hawawezi kuelewana ni watu wanaofanana kimaslahi ,pia wote nima-introvert(umimi) .Hatari ya udikteta inaweza kutokea ,wote si shauri.
 
Dr.Ndalichako atosha,tatizo ya jpm ni kichwa ngumu mno,hasikiliz ushaur yule,alipiga pushup tukafikir atatusikiliza maon yetu.

Tujifunze kuwa tunaweka akiba ya maneno. Kutwa ni malalamiko tu...haya sasa umeumbuka. Muombe radhi Mh. Rais.
 
Mkuu nimefurah mno maoni yetu tuliyoyatoa humu jf,yamesikilizwa,walimu watashangilia mno aisee,mama yule yuko makini mno.
 
Nyie mnaosema waislamu tumekwisha ndo mnafanya Islam ionekane mbaya. Kiukweli brothers this is hooliganism. Nchi yetu hii tuijenge sote. La kum dinukum waaliya din.
 
Udini hapana sote ni watanzani tujadili bila kuweka imani zetu sote ni watanzani na hii ni nchi yetu sote
 
Back
Top Bottom