Profesa Lipumba utawajibika kwa kifo cha CUF

Profesa Lipumba utawajibika kwa kifo cha CUF

Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha CUF wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya CUF na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Hukujua kuwa ipo siku maovu yako uliyoyafanya ukiwa gizani yata backfire.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anayekupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.

Hii kali aisee anyway tunawakaribisha CHADEMA.. Chama mwiba mchungu kwa CCM
 
Lipumba popote ulipo kawaombe radhi wazanzibari ,uliwasaliti wanzazibari kwa kiwango hakijawahi kushuhudiwa hapa duniani.Lipumba tubu kwa mwenyezi Mungu. Mwisho wakabidhi chama wenyewe amboa shingo upande wapo uhamishoni, na amini kwa muda, ACT Wazalendo.
 
Ndio shida ya kumtegemea mtu mmoja kama nguzo ya chama!

Kilichowapata cuf baada ya Lipumba na Maalim seif, ndio kitakachokuja kuwapata machadema baada ya Mbowe
 
Ndio shida ya kumtegemea mtu mmoja kama nguzo ya chama!

Kilichowapata cuf baada ya Lipumba na Maalim seif, ndio kitakachokuja kuwapata machadema baada ya Mbowe
Cdm inaongozwa na watu wenye akili nyingi sana.

Cdm ni taasisi kuuuuubwaaa sana hapa Afrika ya mashariki
 
Lipumba alipinga Lowassa kuwa Mgombea Urais wa Ukawa 2015, miaka kadhaa baadae Mgombea Mgombea huyo akarudi CCM lakini bado Bongolala wanaona ilikuwa sahihi yule Bwana kuwa Mgombea
 
Back
Top Bottom