Profesa Lipumba utawajibika kwa kifo cha CUF

Lipumba alipinga Lowassa kuwa Mgombea Urais wa Ukawa 2015, miaka kadhaa baadae Mgombea Mgombea huyo akarudi CCM lakini bado Bongolala wanaona ilikuwa sahihi yule Bwana kuwa Mgombea
Sasa wacha tumuonyeshe kuwa siasa za kinafiki hazina nafasi tena.
 
CUF haitaweza kufa kamwe, kwani hizo ni ndoto za mwota njozi, CUF ipo imara sana na inazidi kuwa imara kila uchwao achaneni na maneno ya wapuuzi wanaosema sema huko mitaani, chama chetu ni chama cha jasho na damu, ni chama ngangari zaidi ya ngunguri, naomba nieleweke hivyo ndugu watanzania, chama chetu ndicho chama bora kabisa kilichoanzishwa na watu makini sana, kikohozi kimenibana kidogo ngoja nikakohoe, ko ko ko!
 
Kapime kwanza siyo unakohoa kohoa tu
 
Upo sahihi sana mkuu
Hayupo Sahihi kama kuna sehemu katika Nchi hii wanataka mageuzi basi ni Zanzibar hivyo chama ambacho kina nguvu Zanzibar kamwe hakiwezi kufa CUF kilikua ni Chama Chenye nguvu Zanzibar na baada kuwasaliti Wazanzibar kimekufa kifo cha kawaida ACT WAZALENDO kitaimarika kila cku Kwa sababu kimewekeza Kwa Wazanzibar
 
Waende zanzibar hakuna aliyewakataza
 
Huyu ndiye profesa alihamia ofisini na miswaki taulo na sabuni za kuogea
Alichofanya Lipumba ni sawa na Dr. Slaa; ujio wa Lowasa ndani ya ukawa; hawakuridhia. Kuyumba kwao Magufuri akawatumia. Tatizo njia aliopitia Lipumba ni ngumu mno kuliko slaa
 
Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha CUF wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya CUF na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Hukujua kuwa ipo siku maovu yako uliyoyafanya ukiwa gizani yata backfire.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anayekupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.

Hana shida
Alisha kula hela na msajili kwa kuchota kwenye bank akisaidiana na Sakaya.
 
Karibuni CDM wana CUF!
Ukweli lazima usemwe kuwa kifo cha CUF wa kulaumiwa ni Lipumba.

Kwa tamaa ya fedha ulikubali kuigawanya CUF na kukoleza moto na chuki zako dhidi ya marehemu Seif Sharif kwa kutumikia Jiwe.

Hukujua kuwa ipo siku maovu yako uliyoyafanya ukiwa gizani yata backfire.

Leo hii huna watu wa kuwaongoza huna kiongozi wa nchi anayekupatia tena fedha za kuhujumu upinzani.

Hakika Mungu ni mkubwa siku zote.

Hawa siyo Wanasiasa bali ni waganga njaa tu!
Vyama vijenge mfumo mzuri wa kupata wanachama.
Wanavyoonekana tu ni waasi (rebels) na ni vigumu sana kuwa manage watu wa sampuli hii.
"Once a traitor always a traitor"!
 
Shibuda, Cheyo na Dovutwa wataungana na Lipumba, hawataweza kusikika tena
 
Hawa siyo Wanasiasa bali ni waganga njaa tu!
Vyama vijenge mfumo mzuri wa kupata wanachama.
Wanavyoonekana tu ni waasi (rebels) na ni vigumu sana kuwa manage watu wa sampuli hii.
"Once a traitor always a traitor"!
Ila wakiwa CCM ni Wanachama sio?!
 
Back
Top Bottom