anajibu kuhusu yeye kugombea na anasema yeye huwa wa mwisho kuchukua fomu! anasema Abdulahi wade alianza kugombea urais 1970 na kuja kuwa rais 2000! lakini kila mtu anahaki ya kugombea!!
Ameulizwa swali kwa nini kila mwaka anagombea yeye kasema haamui mwenyewe ni wanachama ndio wanampendekeza lakini kama wakimsimamisha mwingine atamuunga mkono.