Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
We utakuwa unawashwa huko nyumani siyo bure. Chadema wanahusikaje hapa?Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Ubongo umekuwa mgando nini?Kama Wapinzani wanazuiwa kuikosoa Serikali,Basi Vyama vya Upinzani vifutwe maana havitakuwa na sababu ya kuwepo.
Kama ni kweli haya ni maneno ya huyo Kitila Mkumbo basi na yeye namshangaa pia, kwani cheo cha H. Polepole ni kipi? Na kazi yake ni ipi, ndani ya CCM?
Ama kweli CCM haina mwenye akili, hivi hao malofa wanaoshabikia CHADEMA sio watanzania?Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
UkawaMwendo kasi au ukawa?
Kuna wakati alisema atajikita zaidi upande wa ITIKADI kuliko UENEZI. Naona angeshikilia hapo. Aelimishe vijana nini maana ya "Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea" . Maneno haya ni machache kwa kutamka,lakini ni mapana sana ktk kujenga Taifa letu. Viongozi wengi wanayakwepa,vijana wa Chama chetu cha CCM ndiyo kabisaa,sina uhakika ni nini kimetokea! Itikadi ya CCM imejengeka na itaendelea kujengeka ndani ya siasa na Taifa lenye kufuata Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea unless otherwise tukubaliane vinginevyo. Mh, Polepole naomba ujikite huko zaidi ili utuunganishe tuwe wamoja. Andaa makala,vitabu,mihadhara,makongamanonk ili jamii ielimike na kuweza kuona kupambanua hoja au sera kati yetu na vyama mbadala.Ndiyo taabu ya kuchukua mchezaji wa chandimu kumpeleka ligi kuu bila hata kuwa mahiri na walau mechi za mchangani!
Pole pole alistahili kujua chama chake kuanzia ngazi ya uchipukizi,shina,kata tarafa,wilaya kabla hajabebeshwa zigo zito la uenezi na itikadi asiyoimudu na inayompwaya!
Unatumia kinywaji gani mkuuKama Wapinzani wanazuiwa kuikosoa Serikali,Basi Vyama vya Upinzani vifutwe maana havitakuwa na sababu ya kuwepo.
Unatumia kinywaji gani mkuuKama Wapinzani wanazuiwa kuikosoa Serikali,Basi Vyama vya Upinzani vifutwe maana havitakuwa na sababu ya kuwepo.
Hivi wewe huwa huna tusentensi twingine zaidi ya huo uchaupele wako?Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Tunahitaji Tan1.5 milioni Vinginevyo make kimya nyie mafisi ya LumumbaYani mpotoshwe halafu muachwe hahahaha hakuna hilo...
Naona ile shule aliyekuwa anasema.imemsaidia naona alikariri tu.Sasa hivi anaweza Kijana ahata alichosema.Fisi ni fisi tu.Kesho pesa ugali katulia mwanakwetu.Polepole anaamini katika Ujamaa na KUJITEGEMEA hadi sasa