Definition ya Professor nayo ni muhimu kuzingatiwa. Tanzania Professor ni cheo cha academia unachopata baada ya kuibuka through the ranks, upate Ph.D, ufundishe miaka kadhaa etc. Kuna kupitia kuwa Associate Professor kwanza kabla ya kuwa full Professor.Sasa wew hapa anatajwa kama young Prof. Sio DR . PHD kapata na 31. Kumbuka elimu ya kwetu huko. Huku ujerumani sawa. PHD 25, 26,28 na wanachukua uprof mapema sana. Mana hawa jamaa wanaandika sio mchezo. wanajua wanachofanya.
Eti?Halafu mi nilijua utateuliwa sehemu
Yani unampongeza kwa kutoa walimu vyuoni?Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
Kwani sasa una umri gani?Kumbe nikisoma naweza kupata upro nikiwa na umri mdogo zaidi
Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kama mtu wa mwaka 76 unamwita mtoto, basi wengine tutakuwa bado hatujazaliwa..Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
Nimeeleza hapo juu kwamba definition ya u Professor inatofautiana sehemu na sehemu.Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.
Daaah, kile kichwa kilikuwa hatare sana sana kuwahi kutokeaProfesa Chachage sasa marehemu asisahaulike pia
Prof. Kachangaa au vipKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
prof lipu alikuwa balozi?Prof Lipu aliupata akiwa na ngapi?
huyo nae alipata ubalozi?au hamujamuelewa mleta hojaKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
balozi japo saluma alikuwa mdogo zaid kwenye ubaloxiIn African context ni mtoto sana
Sijajadili ubalozi, nimejadili umri, soma tena.huyo nae alipata ubalozi?au hamujamuelewa mleta hoja
Kwa developed countries ni kawaida sana kupata PhD kwenye huo umri 25-28 years, na kuna lot of professors ambao wapo kwenye 40sKuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Mimi mwenyewe katika pitapita zangu nishakuwa na demu Mmarekani Profesa in her thirties.Kwa developed countries ni kawaida sana kupata PhD kwenye huo umri 25-28 years, na kuna lot of professors ambao wapo kwenye 40s
Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Ni sawa nami nilikuwa nakazia papo hapo. Kwa hapa tanzania sijawahi kusikia mwalimu aliyefikia uprofessor halafu hakupita PhD. Na ni ngumu kuupata uprof kama sio mwanataaluma (mwanazuoni). Nakubaliana na wewe kuwa kwa hapa Tanznia ni lazima awe mwalimu wa chuo kikuu na awe alishapata PhD.Nimeeleza hapo juu kwamba definition ya u Professor inatofautiana sehemu na sehemu.
Ni sawa unavyosema Ph.D si u professor, kwa sababu kuna watu ma professor lakini hawana Ph.D, wana Masters degree (Marekani kwa mfano).
Na kuna watu wana Ph.D lakini si ma Professor, ni watafiti kama Gwamaka.
Kwa hivyo, tunavyoongelea hizi habari, ni vizuri kunyambulisha.
Tunaposema Profesa tuna maana gani? Mwalimu wa Chuo Kikuu (kama Marekani) au cheo cha mtu aanayefundisha baada ya kupata Ph.D (kama Tanzania).
Kifaransa hata mwalimu wa sekondari ni Le Professeur.Mkuu PhD sio uproffesor,baada ya PhD kuna mchakato sihaba ili kuufikia Uprof. Kama ana 43 obvious ameupata mapema kwa system yetu ilivyo.
Ni sawa nami nilikuwa nakazia papo hapo. Kwa hapa tanzania sijawahi kusikia mwalimu aliyefikia uprofessor halafu hakupita PhD. Na ni ngumu kuupata uprof kama sio mwanataaluma (mwanazuoni). Nakubaliana na wewe kuwa kwa hapa Tanznia ni lazima awe mwalimu wa chuo kikuu na awe alishapata PhD.
Yuko kikazi zaidi, tafakari.What a waste!!
Unamtoa intelligent, young, and energetic individual from a higher learning institution na kumpeleka ubalozini!!?