Profesa Juma Kapuya awahoji Watanzania: Mlitaka nioe Bibi?

Profesa Juma Kapuya awahoji Watanzania: Mlitaka nioe Bibi?

Vijana acheni wivu oeni wasichana bado wapo wengi, tatizo mnataka kuchezea wasichana kwa ghalama za wazazi wenu!!
 
Miaka ile iliyopita wakati nakua nilikuwa nikiambiwa mtu kasoma hadi kufikia ngazi ya profesa au dokta namchukulia ni mtu wa hadhi ya juu mno! Siku hizi naona kawaida sana
Toka zaman walikuwa wa kawaida tu hao wewe tu ndio ulili kuwa hujui vituko vyao muulize dingi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningefurahi angemuoa Sepetunga au Mabito au Aunt Ezeki,hapo ningemuona wa maana sababu hawa ni watu wazima.lakini kwenda kuwapora vijana wa Kaliua mchumba hilo sikubaliani nalo afadhali basi angeoa bibi huko Kaliua,kwani bibi wajane wapo wengi,alichofanya ni kutafuta ugomvi au ndio anashindana na mzee Machache aliyeoa nusu mthungu?tuone nae kama atazaa mapacha kama mzee mwenzake mzee Machache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom