Profesa huyo

Pia kingine cha kujifunza, kwa nchi yetu hii hata usome vipi ukiingia kwenye siasa kuna wengine wanakuwa afadhali STD 7, sema tu zile tittle zinazotangulia ndo zinawatambulisha kama wasomi (Dr, Professor, Mwalimu)
Kabisa mkuu... mfano mtu huyu angekuwa mhadhiri chuo fulan angekua anafundsha nn kule

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hivi uyu ni Profesa kweli? Kwanini wasomi wa Tanzania kwenye siasa ni wa ovyo hivi?
 
Haka kapicha kanafurahisha kwa kweli.
 
Si avae tu na ile kofia kama professa ndumila wa sani.
 
Hapa ndio kwa kujifunza... kua upinzani tz bado sana, hivi angekua rais miaka kumi ikapita angeachia uyu?
Tatizo lako ni kuchanganya uwezo binafsi wa mtu (whether from chama tawala or opposition) na institution aliko...
 
Pia kingine cha kujifunza, kwa nchi yetu hii hata usome vipi ukiingia kwenye siasa kuna wengine wanakuwa afadhali STD 7, sema tu zile tittle zinazotangulia ndo zinawatambulisha kama wasomi (Dr, Professor, Mwalimu)
Kuna mwanafalsafa mmoja ndo anasema hivi. "If you want to get rich/ wealth without working on it at all, join African politics". Ndo maana unawaona akina Le Professeur Lipumba wanang'ang'ania kubaki huko.
 
Nyoooo! Nabado ndio kwanza picha limeanza


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Prof wa ajabu hajawahi kutokea

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…