Profesa huyo

Hapa ndio kwa kujifunza... kua upinzani tz bado sana, hivi angekua rais miaka kumi ikapita angeachia uyu?
 
Nimecheka sana. Mtu mwenye hadhi ya profesa. $$$$$$$ it. It sucks.
 
mbona kama suruali la pro-pesa limelowa!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu jamaa ni professor wa vitini na unafiki,
Professor gan asiyechanganua mambo, huyu jamaa ni wa kupuuzwa
 
Hapa ndio kwa kujifunza... kua upinzani tz bado sana, hivi angekua rais miaka kumi ikapita angeachia uyu?
Pia kingine cha kujifunza, kwa nchi yetu hii hata usome vipi ukiingia kwenye siasa kuna wengine wanakuwa afadhali STD 7, sema tu zile tittle zinazotangulia ndo zinawatambulisha kama wasomi (Dr, Professor, Mwalimu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…