Profesa Asiye na Makuu

anamaanisha umekuwaje shabiki wa Yeboyebo/Kandambili na huijui vizuri? au ndio wewe wa kupelekwa na gari St Mary?

Nishajua mnamaanisha nini! Ha ha ha ha haaaaaaa! Hamna maana kabisa! Maana yake wapenda ubwabwa waleee wananihii! Mie kwenye utani wa hivyo simo jamani! Lol!
 
true indeed, gentle one laugh after understanding..........
Nishajua mnamaanisha nini! Ha ha ha ha haaaaaaa! Hamna maana kabisa! Maana yake wapenda ubwabwa waleee wananihii! Mie kwenye utani wa hivyo simo jamani! Lol!
 
Mheshimiwa Amavubi umepeleka wapi zile ndala zetu bhana? Naona badala yake umeweka kitu cha nguvu, halafu kama vile kinafanya Actual Practical maabara.
 
Mheshimiwa Amavubi umepeleka wapi zile ndala zetu bhana? Naona badala yake umeweka kitu cha nguvu, halafu kama vile kinafanya Actual Practical maabara.

Nimeenda kuweka kiraka mkuu,
 
Siyo ku-expire, ila kwa mtazamo wa chakula nikaona kama ni chakula cha mchana.......na pembeni kidogo kuna maharage. Walaji watapona kweli?
Gesi LAZIMA ITOKE HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…