Prof. Tibaijuka - Ufadhili shule ya Babro Johansson

Prof. Tibaijuka - Ufadhili shule ya Babro Johansson

BABA E's

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
354
Reaction score
136
Nimemsikiliza Prof. Tibaijuka vizuri Star-TV asubuhi hii, namuona anatapatapa. Kwa wachache tunaoijua shule hii ufadhili ulishafutwa muda mrefu na wanafunzi wapya wanaojiunga kwa muda mrefu wamekuwa wakilipa kiasi chote cha fedha. Napata wasiwasi kama kweli hizo hela alizopokea zililenga hasa ufadhili huo anaouongea. Kama kweli hizo hela zilikuwa za shule, nafikiri shule yenyewe ilikuwa ina uwezo wa kufungua account yake katika bank ya mkombozi, kwanini afungue account yake binafsi. Nadhani kuna haja ya kutafuta taarifa kamili kutoka kwenye shule yenyewe.
 
Huhitaji kusumbua akili zako, km pesa ni za shule pesa sizingekwenda kwenye akaunti ya shule? kwaani shule ina board na uongozi yeye angebaki kuwa miongoni mwa signatories/signatory. Hapa atuambie pesa alipewa za nini. Milioni 1600 unasema ni zawadi tu.
 
Wamwogope Mungu kwa kweli Uzuri Mungu si mtu mila malipo hapahapa duniani mbinguni hukumu.
 
Huyo Bibi Kajumulo kalamba fedha mkitaka kuamini ebu fuatilieni transactions zake kutoka accounts ya mkombozi kama kweli zilienda kwenye account ya shule? Na kama zilienda je zimetumikaje? Ile fedha haikuenda shule,mama kaipiga na sisiemu wenzake kama kina lusinde.
 
tuanze kuwaondoa hivi sasa ktk uchaguzi wa s/m na tuwamalizie mwakani,wezi wakubwa

mkuu wana jamii forum wote iwapo tutatumia meseji tulizonazo katika vifurushi vyetu kuhamas isha ndugu na jamaa na marafiki zetu wakajiandikishe kwa ajiri ya uchaguzi huu .kama wanajamii forum tupo zadi ya laki tano tunatosha kuhamasisha na kuwafikia watanzania wengi ambao kwa tathimini yangu ya haraka haraka katika watz milion 45 hadi leo walojitokeza kujiandikisha ni milioni 3 mpaka -5 sidhani kama elimu/matangazo ilitolewa kabla ya zoezi hili.tukiwa kama great thinkers tusaidie kuwakumbusha wengine
 
Kwanza mmiliki halisi wa Barbro ni nani?

Muanzishi wa shule hii ni aliyekuwa katibu wa rais wa kwanza ambaye alikuwa raia wa sweden Barbo johanson mwanzoni ilipokuwa unaandikisha mtoto walikuwa wanaangalia shule ya msingi alikuwa anasoma shukle ya aina gani kama ni english medium au shule ya kawaida hivyo alikuwa anachajiwa ada kwa kuangalia vigezo hivyo sasa sijui leo hii imegeukajeTibaijuka kuwa mmiliki
 
Kwnn asinge jenga maabara katka shule za kata hyo bablo ada mil tatu tena na ufadhl ipewe huu ni mchezo mchafu bibi bomba kachemka
 
Bado wa2 kama hawa watapewa fursa tena na vyama vyao kugombea tena na wananchi watawapa tu kura na watashinda tena. Kazi kweli kweli.
 
Mimi tangu nimepata ukweli toka kwa muhongo hili jambo halinipi shida tena.
 
jamani huu niuongo uliokomaa sasahivi huwitaji kusafiri na pesa hatakama huyo mtu unaetaka kumwekea pesa hana account katika bank yako.unachokifanya ni kujanza transfer form na bank watatransfer hizo pesa katika account uliyoijaza katika transfer form.

Tibaijuka wewe nimwiziii tu wala hili halina ubisha.
 
Huhitaji kusumbua akili zako, km pesa ni za shule pesa sizingekwenda kwenye akaunti ya shule? kwaani shule ina board na uongozi yeye angebaki kuwa miongoni mwa signatories/signatory. Hapa atuambie pesa alipewa za nini. Milioni 1600 unasema ni zawadi tu.
milioni 1600?
 
Back
Top Bottom