Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Nchi masikini na watu mafukara hawaishi kubweteka na maliasili, wanaweza kukuua hata kwa mafuta ambayo hayajaonekana bado.
 

Angalau wewe kidogo umejaribu kuwa fair kwa kuweka pembeni "ushabiki ". Lakini saula zima la Muungano ndio tatizo. Hizo kero za muungano iko siku zitageuka na kuwa mabomu ya muungano. Tuombe Mungu asitufikishe huko. Lazima busara zitumike vinginevyo tutanyimana usingizi.
 
Kukodolea macho sana maliasili hakuna tofauti na kukodolea macho sana mali ya urithi.
 

Nadhani ungesema mambo gani ambayo Tanganyika ina wafadhili wazanzibari... Baadae tulinganishe na mambo ambayo Zanzibar inapoteza au kupata hasara kwa sababu ya huu Muungano. Mimi nahisi upande wa pili ni watamaa zaidi.
Hayo mapenzi mliyonayo juu ya wanzanzibri ,kwanini yamezidi hadi kuwanyima uhuru wa kujiamulia mambo yao? sasa hayo mapenzi au kero ?
 

zanzibar nchi?
 

nyie wazanzibar midebwedo kuanzia mwili hadi akili zenu,kila kitu mnalalamika tu ati mnaonewa..nini maana ya muungano sasa? mbona ninyi mmejazana huku kwetu tumewapa na maeneo ya biashara na ya kujenga na mnaishi kwetu....wapuuzi sana ninyi mnatabia za kishoga hizo kama hamtaki muungano mtuachie TANGANYIKA YETU...na ninyi mbaki USHENZINI kwenu tuone kama hamjala MAVI ninyi PANYA BUKU...Kazi yenuubaguzi wa kidini na kikanda...to hell JUSSA,to hell MIDEBWEDO wa akili na mwili ninyi ndo maana mnaoana hata wanaume kwa wanaume....nguruwe pori nyie
 
Umeshatuambia kuwa muungano huu hauna katiba sasa unasimamiaje katiba ambayo haipo? Kajipange tena, muongo wewe!

zanzibar nchi?

Jambo usilolijua litakusumbua. Jussa na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wamezungumza kama majuha kwani hawajui kipi kimeombwa. JMK imeomba kuongezewa eneo zaidi ya lile Eneo Tengefu la Kiuchumi (ETK) au kwa Kiingereza Exclusive Economic Zone (EEZ). ETK haiombwi kwani hiyo ni haki ya nchi inayopakana na bahari. Tanzania ilikwisha tangaza eneo lake la ETK mwaka 1989 kwa mujibu wa Sheria ya Eneo la Bahari na Eneo Tengefu Namba 3 ya Mwaka 1989 ambayo ilisainiwa na Raisi Mzanzibari, Alhaji Ali Hassani Mwinyi na inatumika pande zote mbili za Muungano (soma kifungu 1(2). "This Act shall extend to Zanzibar".

Kifungu cha 7 cha sheria hiyo kinasema.

7.-(I) There is established contiguous to the territorial waters, an Exclusive Economic marine zone to be known as the Exclusive Economic Zone.

(2) Subject to subsection (3), the exclusive economic zone shall not extend beyond 200 nautical miles from the baselines from which the breadth of the territorial water is measured.

Hivyo eneo la ETK ndilo hilo na hapo hakuna na nchi yetu ina haki nalo na ndiyo maana Waziri Magufuli alifanikiwa kuishika ile meli ya iliyokuwa inavua samaki katika eneo hilo. Kwa mujibu wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa ya Sheria za Baharini ya Mwaka 1982 United Nations Convention on the Law of the Sea (UNCLOS), nchi inayopakana na bahari inaweza kuomba kuongezewa eneo nje ya ETK lenye ukubwa wa maili za kinutikali 350.Ikumbukwe kuwa Maili 1 ya kinutikali= Mita 1,852 (Kilomita 1 na mita 852). Eneo hili la ziada linaitwa Eneo Tengefu la Kibara (Continental Shelf(CZ)).

Ibara ya 76 ya Makubaliano hayo ya Sheriza za Bahari inasema:


1. The continental shelf of a coastal State comprises the seabed and subsoil of the submarine areas that extend beyond its territorial sea throughout the natural prolongation of its land territory to the outer edge of the continental margin, or to a distance of 200 nautical miles from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured where the outer edge of the continental margin does not extend up to that distance.

4. (a) For the purposes of this Convention, the coastal State shall establish the outer edge of the continental margin wherever the
margin extends beyond 200 nautical miles from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured, by
either:
----
5. The fixed points comprising the line of the outer limits of the continental shelf on the seabed, drawn in accordance with paragraph 4 (a)(i) and (ii), either shall not exceed 350 nautical miles from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured or shall not exceed 100 nautical miles from the 2,500 metre isobath, which is a line connecting the depth of 2,500 metres.

6. Notwithstanding the provisions of paragraph 5, on submarine ridges, the outer limit of the continental shelf shall not exceed 350 nautical miles from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured. This paragraph does not apply to submarine elevations that are natural Article 76.The outer limit of the continental shelf shall not exceed 350 nautical miles
from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured. This paragraph does not apply to submarine elevations that are natural components of the continental margin, such as its plateaux, rises, caps, banks and spurs.

----
8. Information on the limits of the continental shelf beyond 200 nautical miles from the baselines from which the breadth of the territorial sea is measured shall be submitted by the coastal State to the Commission on the Limits of the Continental Shelf set up under Annex II on the basis of equitable geographical representation. The Commission shall make recommendations to coastal States on matters related to the establishment of the outer limits of their continental shelf. The limits of the shelf established by a coastal State on the basis of these recommendations shall be final and binding.

Kazi ya Tume za Ukomo wa Eneo Tengefu la Kibara ni kama zilivyoanishwa na Kiambatanisho cha Pili cha Makubaliano hayo:

Article 3

1. The functions of the Commission shall be:

(a) to consider the data and other material submitted by coastal States concerning the outer limits of the continental shelf in
areas where those limits extend beyond 200 nautical miles, and to make recommendations in accordance with article 76 and the
Statement of Understanding adopted on 29 August 1980 by the Third United Nations Conference on the Law of the Sea;
(b) to provide scientific and technical advice, if requested by the coastal State concerned during the preparation of the data
referred to in subparagraph (a).

2. The Commission may cooperate, to the extent considered necessary and useful, with the Intergovernmental Oceanographic Commission of UNESCO, the International Hydrographic Organization and other competent international organizations with a view to exchanging scientific and technical information which might be of assistance in discharging the Commission's
responsibilities.

Article 4

Where a coastal State intends to establish, in accordance with article 76, the outer limits of its continental shelf beyond 200 nautical miles, it shall submit particulars of such limits to the Commission along with supporting scientific and technical data as soon as possible but in any case within 10 years of the entry into force of this Convention for that State. The coastal State shall at the same time give the names of any Commission members who have provided it with scientific and technical advice. (Mkazo umeongezwa).

Tukiangalia kwa makini ni kuwa maombi ya JMT yamechelewa kwani yalitakiwa yatolewe ndani ya kipindi cha miaka kumi tangu sheria hiyo kuanza kufanya kazi yaani mwaka (1994-2004). Kwa hiyo maombi ya JMT ni lazima yawe na sababu zilizoifanya Tanzania ichelewe kupeleka maombi yake. Kupewa eneo kunaipa miliki nchi ya kipwani haki ya kutafuta na kutumia rasilimali zilizomo. Sasa akina Jussa na wajumbe wa BLW walitakiwa kuelewa kuwa haki zote ambazo JMT inapata katika eneo hili ni zao pia na hata kama muungano huu ulio mahututi utakufa basi kutafanyika mgawo wa mali na madeni kama ambavyo ilifanyika mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa Jumuia ya Afrika Mashariki. Bahati mbaya tunazungumza na watu walio mtero au kwa Kiingereza "jumpy" ambao wanakurupukia mambo wakijifanya wanajua kumbe hawajui kitu na wanawapotosha watu wengi. Ni vema wakumbuke maneno ya wahenga "Simba mwenda pole ndiye mla nyama.
 
Mama Tibaijuka jana alilitolea ufafanuzi hili. Waliotaka kuelewa wameelewa. Wenye agenda nyingine nyuma ya hili waendelee tu na agenda zao. Watu wa Mungu hauwezi kuwazuia, kuwapimia au hata kukomalia hili wakiwa na maana ya lile.
 

Nilifikiri serikali ya muungano inajumuisha na zanzibar kumbe hapana!!
 
Angalau walikuwa/ ni Watanzania. Huyu jamaa alijifanya MTANZANIA. Akatuibia kodi zetu kwa huruma ya Mwalimu kwa Wazanzibar. Sasa yuko Uarabuni anatufundisha democrasia. Waarabu na democrasia!
Ni kweli Faiza sina sababu ya kuzurula nje ya Tanzania. Naridhika sana hapa nilipo. Kwanza najiona nimependelewa kuliko WATANZANIA wengi tu.
 

Hakuna cha Prof. Tibaijuka kujiuzulu. Eneo hili kwa ajili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambamo wewe na Jussa wako ni raia. Kama kuna kitu kingine si mseme tu. Achani kutumia uongo wa uani ili kutaka kuvunja muungano.
 
Nilifikiri serikali ya muungano inajumuisha na zanzibar kumbe hapana!!

Mwanamayu, hawa Wazanzibari ni kama mtoto mchoyo ambaye yeye anaamini kuwa sahani ya wali iliyotengwa ili wale yeye na wenzake ni kwake peke yake. Mtoto huyu yuko tayari kuificha hiyo sahani uvunguni ili wenzake wasile kabisa wakati huo akitimua mbio kwenda kwa mama yake kudai chakula kingine!!!!

Dawa ya mtoto mchoyo ni kiboko na kuamrisha chakula kiliwe chote na wenzake ili siku nyingine ajifunze kuwa uchoyo ni tabia mbaya isiyoweza kuvumiliwa.
 

Huyo jamaa agenda yake hasa si hiyo. Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho anakitafuta yeye na wenzake.
 
Mama Tibaijuka jana alilitolea ufafanuzi hili. Waliotaka kuelewa wameelewa. Wenye agenda nyingine nyuma ya hili waendelee tu na agenda zao. Watu wa Mungu hauwezi kuwazuia, kuwapimia au hata kukomalia hili wakiwa na maana ya lile.


WC,,
Suala la ardhwi sio suala la kisiasa hilo ni rasilimali ya nchi hoyo. Ndio maana unasikia watu wanapigana na kuuwana kutokana na kugombea ardhi..

Labda nikuulize Je unajuwa kwanini suala la ardhi halimo katika hati ya makubaliano ya Muungano?
Kila nchi ina waziri wake wa Ardhi.

Kama suala hilo ni genuine halina shaka wala hila zozote kwanini lisiwasilishwe na Waziri wa mambo ya Nje na mawaziri wote wa ardhi wa nchi zote mbili kuwa wasindikizaji tu?

Kwani masuala ya mambo ya nje ni moja katika makubaliano katika hati ya muungano.

Kwanini asiwasilishe Membe au naibu wake Mahadhi Maalim. Tibaijuka amewasilisha kama nani?
 
Hakuna cha Prof. Tibaijuka kujiuzulu. Eneo hili kwa ajili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambamo wewe na Jussa wako ni raia. Kama kuna kitu kingine si mseme tu. Achani kutumia uongo wa uani ili kutaka kuvunja muungano.

Kumbuka kuwa suala la Ardhi sio suala la Muungano. Ndio maana kila upande una waziri wake wa ardhi na makaazi.

Najiuliza kama suala lilikuwa genuine na hakuna hila zozote ndanimwe kwanini lisiwasilishwe na waziri wa mambo ya nje?

Kwanini awasilishe Tibaijuka? Na wakati mamlaka ya Tibaijuka mwisho Chumbe, hana mamlaka yoyote Znz kwa mujibu wa katiba ya Muungano?

Amuoni hapo amevunja sharia za muungano?

Kwanini asijihuzuru?

 
Ami yangu naona umewashika pabaya jamaa zangu,hivo hivo akiwachekea hawa ndugu zangu hata urais wa Tanzania mtausikia kwenye bomba tena,maana wameshaanza kupangana huku bara,wanasema safri ni zamu ya kaskazini,nyie wamewasahau kabisa!mkimaliza hilo wakomalieni na kwenye urais,tupo wabara tusiopenda dhulma tunawaunga mkono ili na sisi tupate pa kuanzia kuidai Tanganyika yetu irudishwe kwenye ramani ya dunia an kiti chetu UN kirudi vilevile!
 

Ni kweli kabisa usemayo na ndiko tunakoelekea lakini nitasikitka sana kuona "somalia" mpya ikitengenezwa baada ya ''kuvua" hilo koti.... Nikuulize swali jepesi tu na tafadhali kuwa objective katika jibu lako ... Unadhani kati ya wabara na wazanzibari ni wapi wanaofaidika na muungano? na je ukivunjiaka na kila mtu arudi kwake nani ataathirika?? tatu eneo analopigia kelele jusa na wenzake wenye upeo finyu kwa sasa linamsaidia nin? kwanini hakuwahi yeye kuwasilisha hilo ombi? je Ikipewa Tanzania yeye (ninyi) ataadhirika kivipi au ndo yale mambo yetu ya joka la mdimu???
 

Unazungumza mambo meeeeengi lakini inaelekea hujui eneo gani lililo ombwa.

Je unaweza kutujuza ni eneo gani lililo ombwa.

Ikiwezekana tuwekee ramani ili tuanze kuzichambua sheria na kuona nani ana uhalali wa kuomba.

Lakini pia Tz ni muungano wa nchi mbili na zimeungana kimkataba. Je mkataba huo ukivunjika nani atamiliki nini kutoka katika eneo hilo?

Vile vile kwanini ombi hilo amewasilisha Tibaijuka waziri wa ardhi wa Muungano (tanganyika) na sio waziri wa mambo ya nje B Membe? Kwani ardhi halimo katika hati ya mkataba ya muungano wa nchi hizo?

Hayo ni masuala ya msingi kuyajua kabla kuvamia mada hii. na kama una majibu basi tuwekee ili tukuone una upeo kiasi gani nasi tutakujuza pale usipopajua katokana na sakata hili.

naomba upitie kisha tuanze kuzichambua sheria tuone nani ana haki zaidi hapo.

 
************************
 

Ndugu yangu siku zote huwezi kujuwa umuhimu wa kitu mpaka kikutoke?

Kumbuka Znz na Tanganyika zote ni nchi huru kabisa, nje ya muungano kila nchi itaangalia namna ya kuweza kujiendesha. Kupata taabu au kudorora uchumi wa nchi yoyote inategemea na mipango, mikakati na vipaumbele katika masuala a maendeleo na kukuza uchumi.

Kwa mimi kama mchumi kitaaluma nasema nchi hizo zinategemeana kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Lakin ukienda mbaali zaidi utaona Znz wanadhulumiwa kidogo kutokana na population. Znz wapo 1.4 Milioni na Tanganyika 40 Milioni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…