This is too much ndugu. Hivi haonagi aibu? maana hana la simile yeye kila kitu kudefend tu. Ila wakimshika kwenye uislam ana Uzanzibar ndo anajitambua kidooooogondugu huyo bwana yeye hajawahi kuwa na la maana, hana logic yeye kazi aliyopewa ndo hiyo ku defend mpaka vioja kama ni anafamilia inahasara.
Hivi wewe pale lumumba umepanga nini sababu kila nikisomaga comments zako utadhani msemaji wa M23.Mdee mwenyewe yuko uchi anatakiwa kupatiwa nguo avalishwe
Alichokianika Mdee nimebaki mdomo wazi, sishangai ndiye anayemkingia kifua Mchungaji Rwekatare kutobomolewa nyumba iliyojengwa ufukweni mwa bahari kwenye ifadhi.
Mdee mwenyewe yuko uchi anatakiwa kupatiwa nguo avalishwe
Binti kisauti
Do you know what he means?boya wewe.Mdee mwenyewe yuko uchi anatakiwa kupatiwa nguo avalishwe