Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

Kama anajikombea ardhi kama ya kwake hafai huyu bikizee.
Watu kama hawa china wanakulaga kitanzi.
 
Ukawa mnaangaika nyie kisauti Jana kamwaga ushuzi wake bungeni pale ila prof. Alimpatia fresh yake

"ukiona unakipenda kitu mpaka unashindwa kukikosoa pale kinapofanya vibaya hukipendi bali unakiabudu" huipendi ccm wewe bali unaiabudu, hata kwenye mambo ya wazi bado huoni? kwanza ukiwa na fikra huru ukasema kitu kuirekebisha serikali ni dhambi? wanasiasa tz wametuweza yaani wametufanya tuwe vipofu hata wakiiba kuna wananchi wapo nyuma yao wanawatetea..
 
Katika maprofesa wanawake wasio na msaada ni huyu mama, ameshindwa hata kutatua mgogoro wa kupata hati makongo tuu ndio sembuse kigamboni. Ila naamini hii nchi wanaoila kuna mwisho na si mbali sana, sasa analeta ujanja ujanja uzeeni anafikiri atazikwa na pesa ama?
 
Tibajiika alibanwa kama kamjusi kalikobanwa na mlango.
 
POTE haki ilipochezewa ilishinda kwa kufuata mkondo wake.
HATA KWA HAYA PIA!!!
 
Musisahau huyu mama alifukuzwa na Mugabe alipokwenda Harare wakati akiwa Habitat
 

Chanzo: TANZANIA DAIMA.
 
sasa hayo yote mnayozungumza mbona yalipita jana bila shida kabisa, mdee ameshindwa kufanya kazi yake amebaki kutoa tuhuma za uongo, muulize huyo mdee yeye kazi yake ni kutunga uongo tuuuuuuuuuuu??
 
Musisahau huyu mama alifukuzwa na Mugabe alipokwenda Harare wakati akiwa Habitat

Huyu mama hatari kweli kumiliki hecta 100 ndani ya manispaa ya bukoba na heata 800 karagwe zote za nini??? huyu mama balaa
 
Inawezekana kuna ukweli kuhusu Madame Tibaijuka.Ila kwa hiyo taasisi ya TAWLAT ni kweli ni taasisi ya Madame Tibaijuka,na wengi wanachama wake ni wale wa kutoka pande ile ya BK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…