Mhhhh!!!!!!!!!! Sijawahi fungua huku nikakukosa. Kila post iwe udaku wewe upo tu. CCM wamekupa tenda nn mamaa ili na mm nijiunge angalau naweza badilisha upepo wa maisha.Ufisadi gani ulioibuliwa zaidi ya malalamiko ya kisauti?
Wewe mama haujui chochote nenda kapokee buku 7Ufisadi gani ulioibuliwa zaidi ya malalamiko ya kisauti?
UDA ccm waweke mikataba tuone.povu tuCCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
Mhhhh!!!!!!!!!! Sijawahi fungua huku nikakukosa. Kila post iwe udaku wewe upo tu. CCM wamekupa tenda nn mamaa ili na mm nijiunge angalau naweza badilisha upepo wa maisha.
Ardhi in a migogoro mingi kupindukia
Wenye akili huwa hatupati shida na huyo mhuni. Turudi kwenye madaMkuu uko sahihi, mwanzoni nilipokuwa nasikia kuna watu wanalipwa buku 7 kwa kushinda humu nilikuwa napinga, lakini sasa naamini kwani kuna watu muda wote wapo hapa na mbaya zaidi wanatetea mambo ya kifisadi. Haiwezekani uwe uko hapa 24 hrs! huna kazi ya kufanya? unapata wapi pesa ya kifurushi kama hata kazi hufanyi? wewe umekuwa mods?
No wounder una post 23 per day kwa wastan ......Ufisadi gani ulioibuliwa zaidi ya malalamiko ya kisauti?
unabishana na official ID ya Lumumba?Mhhhh!!!!!!!!!! Sijawahi fungua huku nikakukosa. Kila post iwe udaku wewe upo tu. CCM wamekupa tenda nn mamaa ili na mm nijiunge angalau naweza badilisha upepo wa maisha.
CCM ni chama makini na kinaendesha mambo yake kwa umakini
Mkuu kuna watu wako kazini hapa kumbe? Mimi naingiaga kwa machale ila kila nikitia mguu yupo kila jukwaa. sasa huyu mtu hana kingine cha kufanya?Mkuu uko sahihi, mwanzoni nilipokuwa nasikia kuna watu wanalipwa buku 7 kwa kushinda humu nilikuwa napinga, lakini sasa naamini kwani kuna watu muda wote wapo hapa na mbaya zaidi wanatetea mambo ya kifisadi. Haiwezekani uwe uko hapa 24 hrs! huna kazi ya kufanya? unapata wapi pesa ya kifurushi kama hata kazi hufanyi? wewe umekuwa mods?