Prof. Tibaijuka apewa tuzo ya Gottenberg

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jamani mama yetu prof. Tibaijuka amepokea tuzo ya heshima ya jiji la Gottenrberg Sweden na kuwa mtu wa kwanza kupokea tuzo binafsi kwa kuheshimu uhamasishaji wa kuweka mazingira salama.

Tunampongeza mama yetu kwa kuendelea kujaza tuzo kwenye kabati zake.

Kila la kheri.
 
Congratulations our Mama Tibaijuka...sisi wanao wa Tanzania huku East Europe tunakupongeza na kuzidi kukuombea afya njema kwa Mungu.
 
mama tunaomba hamishia makao yako uku bongo tumechoka na kariakoo weather mama kila mkuu wa mkoa akijaa anatudanganya kama watoto abaadae inarudi dampo mama tukumbuke na huku kama ulivyoisafisha nairobi mama
 
mama tunaomba hamishia makao yako uku bongo tumechoka na kariakoo weather mama kila mkuu wa mkoa akijaa anatudanganya kama watoto abaadae inarudi dampo mama tukumbuke na huku kama ulivyoisafisha nairobi mama

Hii kali! sikujua kuwa ni mkurugenzi wa jiji la Nairobi.
 
jamani mama yetu prof tibaijuka amepokea tuzo ya heshima ya jiji la gottenrberg sweden na kuwa mtu wa kwanza kupokea tuzo binafsi kwa kuheshimu uhamasishaji wa kuweka mazingira salama...tunampongeza mama yetu kwa kuendelea kujaza tuzo kwenye kabati zake.....
Kila la kheri

mama yetu maana yake nini? na asingesomea na kuishi huko wala asingepata hako ka tuzo
 
Putuu!!! Sifa za kijinga kwa Jiji hilo analoishi (Dar) itakuwa tuzo ya kinafiki zaidi kutolewa duniani!!! Tathimini haikuhusisha jiji la dar? Maana huu ndio mji mchafu zaidi Afrika Masharki. Dar es Salaam kwa kweli ni kuchafu!! Kariakoo duh!! Most people in dar wanahishi kwenye madampo!!
 
Putuu!!! Sifa za kijinga kwa Jiji hilo analoishi (Dar) itakuwa tuzo ya kinafiki zaidi kuwai kutolewa duniani!!! Tathimini haikuhusisha jiji la dar? Maana huu ndio mji mchafu zaidi Afrika Masharki. Dar es Salaam kwa kweli ni kuchafu!! Kariakoo duh!! Most people in dar wanahishi kwenye madampo!!
 
Back
Top Bottom