Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,391
- 95,787
Ni wila ya Muleba kuna sehemu inaitwa nshamba.
Wangekatwanga mawe kabisa
Ni wila ya Muleba kuna sehemu inaitwa nshamba.
Atashinda sana ikizingatiwa kuwa wazomeaji wamepangwa kwa kazi hiyo.Muleba Kusini ni kubwa na ina watu wengi pamoja na wa visiwani.Mkuu kwani hajui kwamba Nshamba ni ngome ya Mh.Masillingi? Hapo hivyo ni wazi walio fanya labsha walikuwa wamepangwa in advance kufanya usanii!
Wilaya wa Muleba ina kata chungu nzima sio Nshamba tu,huyu mama atashinda tena Ubunge kutokana na wapiga kura walio wengi wanamkubali.
Mwaka 2010 alipita bila kupingwa ndio akajua kuwa kila siku ni ijumaa
Very ignoramus comment. Eti tuheshimu utu na hadhi ya mtu kwa vile ni professor. Sijawahi kuona comment bone-headed kama hiisiungi mkono tabia ya kuzomea wasomi wetu. najuwa Anna ameponzwa na mfumo wa kiwizi-wizi wa ccm, lakini utu wake na hadhi yake kama professor havipashwi kudharauliwa hata kidogo kwa kisingizio chochote. tuwache siasa za majitaka.