Prof. Safari: Nyumba za Serikali zitarudi

Mkuu safari alivitaja hivyo vitabu we unaficha nini baadhi ni development and religion in Tanzania kilichoandikwa na jan pven Berger,the partner ship cha Aboud jumbe .kanisa katoliki na siasa Tanzania cha dr svlon na Mfumo kristo na Dhulma dhidi ya haki za waislam nchini kilichoandikwa na kamati ya makongamano ya kiislamu. Ukisoma hivi vitabu utaona wakristo namna wanavyopendelewa heko safari kwa kisema ukweli .
 
Hapo ndo utata ulipo. Siasa tu naona zinaendelea. Unarudishaje nyumba ambayo mtu ameshapitia milolongo yote ya kuimiliki kisheria? As much as I like politics, its too good to be real the way I see it. Mwisho wake ni kuwa disappoint wananchi kwa kushindwa kutimiza hiyo ilani pindi watakopopewa kura. Aidha kuliingiza taifa katika gharama zisizo za msingi za kuendesha kesi na kuburuzana mahakamani na wanaposhindwa kesi hawasemagi wanameza aibu yao.
Huna haja ya kuona mambo haya hayawezekani wakati ni mambo rahisi kabisa,unawezaje kununua nyumba mil 20 wakati thamani ya hiyo nyumba ni mara tano zaidi?
 
mzee wa sumu,naona hiyo sumu inakupeleka pabaya,naomba nikushauri na kukueleza ukweli kwamba kanisa katoliki ndo linaloiongoza hii dunia,fanya research yako ndo uweze ongea,wenzako wanasema no reaserch no right to speak,fuatilia uweze elewa
 
Hapo ni vitabu tu kaka sio mie muulize safari mi nimesoma ktk gazeti la RSI la Leo safari kavitaja hivyo vitabu nunua uvisome usitoke povu na Mimi kaka
 
Nadhan Mkapa akifuatiliwa vizuri atakuwa kwenye orodha ya maraisi walafi na fisadi africa.magufuli anamauozo anayaficha kwa kutaja matarakim aliyokremisha na anabebana na serikali yake,hamna kitu pale bure kabisa,sijui ben kwanini hashtakiwi. walio pembeni nadhani wanatushangaa na kutuona kama majuha flan ivi.
 
Miongoni mwa ujinga mkubwa uliofanywa na serikali ya awamu ya tatu ni kupitisha uamuzi wa kuuzwa kwa nyumba za serikali huku wakijua asilimia 90 nyumba hizo watauziwa hao waliopitisha uamuzi huo wa kijinga.. Kilichotokea Viongozi wengi waliokuwa tayari na mahekalu mengine walioyajenga sehemu tofauti wakajiongezea tena majumba na kwenye maeneo mazuri zaidi.. Mbaya zaidi kuna baadhi ya Viongozi walikuwa wamehodhi zaidi ya nyumba moja za serikali..! Tamaa na ulafi uliopitiliza.. Siku itakayofika kwa hawa madhalimu kunyang'anywa hizo nyumba ndo siku rasmi ya ukombozi itakapoanza Tanganyika..
 
Safari chadema haina uwezo wa kurudisha nyumba Hamna msimamo mlisema hamtaki posho Leo mnachukua Mbowe alilikataa gari la kifahari akalichukua kinyemela mlisema hamumtambui rais leo kimyaa na ikulu mkaenda mkanywa juisi na bahasha mkapewa Mlijitoa ktk mchakato wa katiba mkamtaka baregu ajitoe akakataa Leo mnaikubali ilekebishwe Kidogo Zito nae namuona ktk uzinduzi Tatizo la chadema Hamna msimamo zilongwa mbali zitendwa mbali nyie wavizi Mina
 
Mkuu safari alivitaja hivyo vitabu we unaficha nini baadhi ni development and religion in Tanzania kilichoandikwa na jan pven Berger,the partner ship cha Aboud jumbe .kanisa katoliki na siasa Tanzania cha dr svlon na Mfumo kristo na Dhulma dhidi ya haki za waislam nchini kilichoandikwa na kamati ya makongamano ya kiislamu. Ukisoma hivi vitabu utaona wakristo namna wanavyopendelewa heko safari kwa kisema ukweli .

hilo la udini litatuvuruga sana,hivyo vitabu viko miaka nenda rudi,ni kama vimeletwa wakati sahihi wakijua tunauelewa flan na sasa uelewa wetu unatutafuna,nafuu uelewa wetu tungeutumia kuijenga nchi kwa pamoja,na hapa tutauana waislamu wakipandisha mori wa kutetea uislam wanakuwa mazuzu,wanaamini ukifa kwa stail hiyo unaenda peponi,ukirudi kwenye siasa ndo wako comfused kabisa kinafki wanataka kulisalimisha taifa inakuwa ngumu,kinafki wanaitetea ccm wasionekane wadini na kuuponda upinzani na ndugu yao prof ndo bure kabisa,anatafuna hela pale cuf anajidai mtetezi
 
Mlaumu safari aliefanya mahojiano na gazeti la rai na kuvitaja hivyo vitabu sie tumesoma ktk gazeti la rai leo
 
nyumba za serikali lazima zirudishwe, nyumba ziliuzwa kwa bei ya kutupwa hivyo basi watarudishiwa hizo pesa walizonunulia kwa wakati huo, poleni sana, anzeni kujiandaa!

Mkuu warudishiwe hela yanini???hawa wote ni maccm panga liwapitie hawatoki!...
 
Huna haja ya kuona mambo haya hayawezekani wakati ni mambo rahisi kabisa,unawezaje kununua nyumba mil 20 wakati thamani ya hiyo nyumba ni mara tano zaidi?

mkuu, mi sibishani sana ila when the moment of truth comes ndo utakapoona siasa za Tanzania kama kweli ni maji taka au siasa safi. Time will tell
 
sheria siyo msaafu, nawe unamiliki mojawapo?

mkuu mimi sio mmiliki ila naongelea from practical viewpoint ya haya mambo nchini hapa. Theoretically all can be put into imaginary workable point but when you come to a practicality of things, you will be amazed that you are even in Tanzania.
 
Hapo ndo utata ulipo. Siasa tu naona zinaendelea. Unarudishaje nyumba ambayo mtu ameshapitia milolongo yote ya kuimiliki kisheria? As much as I like politics, its too good to be real the way I see it. Mwisho wake ni kuwa disappoint wananchi kwa kushindwa kutimiza hiyo ilani pindi watakopopewa kura. Aidha kuliingiza taifa katika gharama zisizo za msingi za kuendesha kesi na kuburuzana mahakamani na wanaposhindwa kesi hawasemagi wanameza aibu yao.
Issue ni kwamba mchakato wa kuzipata hizo nyumba haukufuata taratibu na sheria za mauzo na manunuzi.swala la kuwanyanganya hizo nyumba linaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom