Prof. Safari, Maandamano yapo palepale

Prof. Safari, Maandamano yapo palepale

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
813
Akihojiwa na "DW BORN" leo mchana prof. Abdalah Safari amesema maandamano yapo palepale kwa polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano bali wao wanapewa taarifa tu, kama kusitisha maandamano basi ni kunakiwa na makubaliano kati ya polisu na waandamanaji ila si kuzuia maandamano.
 
Yes,,maandamano yapo palepale.Kesho Arusha tunaonesha njia
 
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
 
Du! Hamjajifunza Kwamba Fujo na maandamano ndio vinawagharimu Haya endeleeni.
 
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani


Wakina Mama na Watoto wanatakiwa kubaki nyumbani. Hao tunawapigania na maisha yao ya mbeleni na wajukuu zetu.
 
Vijana tujitokeze kwa wingi na tuwe na imani kwa kusali sana ili Mungu ayabariki maandamano yetu na mahitaji yetu.
 
Tunawaomba polisi wasituingilie tunapotetea haki, ni pamoja na haki zao wenyewe, waache kutumika kama kondomu, isije ikafikia wakatulazimisha tukawaita na wao ni mbwa, akiamriwa kubweka anabweka hovyo hovyo!
 
polisi wanazuia maandamano? kwa sababu zipi? tutawataarifu wawe tayari kulinda maandamano hayo pale yanapoanzia mpaka mwisho.
 
RED BRIGADE wako tayari kwa mapambano na polisi kesho
 
Hongera cdm, lakini ni vizuri mkawa makini na polisccm na utupaji wa vitu vizito!
 
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
.... kwanza jina lako tu... laki si pesa unahitaji ukombozi wa pili kwani unao watetea wameisha filisi nchi hii.... karibu CDM mkuu....
 
Polisi hawana uwezo wa kushindana na nguvu ya umma ngoja kesho tuone tutaandamana Arusha pande zote tuangalie kama wana ubavu wa kutuzuia ...wazalendo wenzangu msikate tamaa muda wa ukombozi umekaribia VIVA CDM DAIMA
 
Hivi polisi wanafaidika na nini Samwel Sitta na wenzie wanapoendelea kula hela zetu huko Dodoma?
 
akiojiwa na "DW BORN" leo mchana prof abdalah safari amesema maandamano yapo palepale kwa police hawana mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano bali wao wanapewa taarifa tu, kama kusitisha maandamano basi ni kunakiwa na makubaliano kati ya police na waandamanaji ila si kuzuia maandamano

Ni BONN na sio kuzaliwa!
 
polisi wanazuia maandamano? kwa sababu zipi? tutawataarifu wawe tayari kulinda maandamano hayo pale yanapoanzia mpaka mwisho.

Tumeshawataarifu maandamano yetu ya kesho. Na hatuhitaji ulinzi wowote kutoka kwao!
 
Mnawatisha wananchi kwa mbwa na mitutu ya bunduki kwa kudai haki zao za msingi. Hebu waacheni waandamane kama wanavyotaka kama mnajiamini mnaongoza kwa haki nchi hii.Mnaogopa nini.Polisi tumieni tu weledi wenu kuhakikisha waandamaji hawadhuru watu au Mali zao.Halafu tuone km kuna hata unywele wa
mtu utanyonyolewa
 
Back
Top Bottom