Mnyabwilo
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 720
- 256
Hivi jamaa wa Engineering (COET) na CONAS mnajionaga nyie ndo vichwa sana wa kuongoza hii taasisi siyo??? Kuna wengine pia wanaweza sana tu. Ndo sababu mmefanya kumbeba beba Mfinanga na vyeo vya fasta fasta (hapa sitaki ulete sababu za search commitee ambazo mara nyingi maoni ya wengi hupuuzwa katika teuzi ambazo wakubwa huwa wameshaamua nani awe) ili awe sehemu fulani. Akipewa Chuo Mfinanga wachuya utalika hapo UDSM.
Mangwini mtapiga sana kelele hila safari hii Coet tunarudi kwenye nafasi yetu mmeleta sana siasa...acha turudishe heshima