Prof. Rogo

Prof. Rogo

Mbona tunafanya generalization na kuwa judgmental?
Just because he has dreadlocks haimaanishi jamaa anakula mkate wa bwana na ni mchafu.
Sawa lakini nazungumzia kuhusu hiyo thickness ya hizo nywele
 
Sawa lakini nazungumzia kuhusu hiyo thickness ya hizo nywele

Hii inatokea ukiacha nywele zika kua bila kupitisha chanuo au kusokota nywele
Dreadlocks nyingi na ndizo zinazofahamikA ni zille moja moja nyembamba"bathroom dreadlocks" ila jamaa kitu natural hamna mkono wa mtu hapo
 
Mbona povu hivyo. Au na wewe una rasta chafu?

Hapana mkuu mm naenda barber shop kila mwezi na kukata au kufuga nywele ni maamuzi binafsi ya mtu
Ninacho jaribu ni kuondoa dhana potofu dhidi ya hawa majamaa walio amua kufuga nywele. WanabaguliwA sana kisa dreadlocks au hata kupewa sifa mbovu eti mchafu au mvuta jani
 
Ila kuna wengine wasafi wengine ndo hivyo tena. Tusifike mbali ndugu nimekuelewa sana.
 
Yaaah man..... gat da wid Haile Selassie. Rasta man never die.... yoyoyoyo.....! R.I.P Bob Marley.
 
Au ni prof wa mambo ya kitamaduni? Huyu hata mtoto mdogo akimuona lazima akimbie..
 
hii picha nimeipata tangu asubuhi; sema nmem'google haonekani ndo kusema huo ni uongo..
 
hata majimarefu nae ni proffesor,...
hivyo asizaurike,.
elimu nahisi haijambadili huyu prof.
 
Back
Top Bottom