Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

Asante ila pia nilitaka kukasirika uliponiita Babu, kwasababu hatupendi kuzeeka, ila nilipokumbuka, my 1st born has a kid, my 2nd born has a kid and my 3rd born ni mama kijacho ndipo nika realize I'am indeed a Babu.
Ukubwa dawa, uzee Busara.
P

Hahah ukiona hutaki kuukubali ukweli wa wewe kuwa babu, jua upande wa pili kuna vitu hukuvitimiza pindi ulipokuwa kijana Mkuu :D :D , Hapo kwa watotolaiti ungekuwa na binti mwingine bado hajapata Mchumba ningekuletea Maksai wa kutosha kutoka kanda Maalamu. Hakika hakuna kijana wa kitanzania asiependa kuchanganya damu nammoja wa Mogul wa kubwa katika tasnia ya uandishi wa habari hapa nchini.

Mimi Nakutabilia mazuri katika awamu ya pili ya Mzee wetu huyu ambae ameamua kuvaa viatu vya late J.K. Nyerere na hakika vimemtosha vizuri bila kupwaya.
 
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
Mjamaa huyo jamaa, ndio maana kachukua jina la mjamaa mkomunisti Late Lumumba.
 
Mwache aende kubwabwaja....! Afrika imerudishwa nyuma zaidi na hao tunaowaita wasomi

Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Watch Live

Karibu.

Paskali.
 
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P

Bado yuko na falsafa za Nyerere ndani ya karne hii!!. Anyway sio mbaya mbadlishane mawazo, lakini falsafa za Nyerere karne hii ni utani wa mchana kweupe. Paskali ukumbuke hizo falsafa za Nyerere ndio tulipovaa viraka.
 
Huyu sasa ndiye Afro-centric wa ukweli, namkubali kupitiliza huyu mwamba
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Watch Live

Karibu.

Paskali.
 
Babu usiniambie lugha ya malkia bado inakusumbua :D:D, Nilibahatika kupitia hiki kitabu cha Africa's liberation the legacy of Nyerere wakina Prof. Issa G. Shivji wameelezea harakati za Mwalimu katika ukombozi wa Nchi za afrika pia maono yake, Hakika Hayati Mwl. J.K. Nyerere alikuwa zaidi ya binadamu.

Waweza kipakua hapa babu Pascal Mayalla ukapitisha macho kidogo Mkuu
Hiyo ni sarcasm kumbe humjui huyo jamaa!
 
Sio kila mzee ana busara,kwasababu wazee wajinga na wapumbavu pia wanazeeka!
Asante ila pia nilitaka kukasirika uliponiita Babu, kwasababu hatupendi kuzeeka, ila nilipokumbuka, my 1st born has a kid, my 2nd born has a kid and my 3rd born ni mama kijacho ndipo nika realize I'am indeed a Babu.
Ukubwa dawa, uzee Busara.
P
 
Hajazungumzia kuhusu Marais wa africa kuwa na madaraka/nguvu kubwa na ukiwezekana wapunguziwe madaraka

Ova
 
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Watch Live

Karibu.

Paskali.
Huyu profesa simuelewagi,nibora wangemleta yule Dr mchumi,anakuja kutupigia tu kelele namdomowake ule(atasifia magufuli na magufulification zero yake
 
Hana jipya amakariri maneno ya kilatini ya kisheria na maneno ya viong
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Watch Live

Karibu.

Paskali.

ozi wa zamani na wapagania uhuru na kuongea mfumo wa kughani hana tofuti namrisho mpoto tofauti ni kwamba mpoto anatumia kiswahili
 
Huyo Lumumba ni mnafiki mkubwa nashangaa kama bado kuna watu wana muamini
Mwanzoni alikuwa anamsifia sana Magufuli, kila nchi atakayokwenda ilikuwa lazima amtaje kwa a.k.a aliyompatia ya bulldozer. Sasa kaona kuna katatizo sehemu
 
Back
Top Bottom