Prof. Palamagamba Kabudi atangaza Tanzania kuwa M/Kiti na mwenyeji wa mkutano 39, wa SADC

Zambia Malawi kuna reli inajengwa tokea Beira kwa taarifa tu baada ya kuchoshwa na unyanyasaji Dar
 
SADIC ilianzishwa rasmi mwaka 1992, baada ya kuvunjwa kwa Front Lines States, ina nchi 16 zenye watu milioni 450, hivyo Tanzania ni muanzilishi.
P
 
Zambia Malawi kuna reli inajengwa tokea Beira kwa taarifa tu baada ya kuchoshwa na unyanyasaji Dar

Bado hatujachelewa, this is business, TISS waache kulala wafanye kazi sasa kujua udhaifu wa maadui ili tupitie hapo.

Kontena Terminal TUNDUMA bado itatulipa na inakuwa destination ya moja kwa moja kutoka nje huku Dar-port inakuwa kama transit port na Kontena zao wanazikuta mdomoni Tunduma hatujachelewa bado.. Wafanya biashara wetu wakopeshwe mitaji kuagiza mizigo kulingana na mahitaji ya hizi nchi na magodown yanakuwepo pia maeneo haya, Tunaingia mikataba na Makampuni ya kijapana yanayouza Magari yanaweka mayard ya Magari maeneo hayo, Makampuni ya kichina na kihindi yenye kuuza mitambo mbalimbali yanakuwa na yard maeneo hayo, Hii itachochea wingi wa route za meli kuja Dar es salaam kuliko Beira hapa tutawakamata wafanyabiashara wa hizo nchi kwa ajili ya uharaka wa mizigo kufika.
 
Kabudi amemaliza kuongea. Miongoni mwa waliopo ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, hivyo sasa Makonda anatoa vote of thanks.

P.
 
Amempongeza Kabudi kwa press conference hii, kuwa sio press conference tuu, bali Kabudi ametoa press conference darasa, maana Kabudi amepiga shule.
P
 
Makonda ametoa wito kwa wafanyabiashara kuchangamkia fursa za mkutano huu.
P
 
Mkutano huu utakuwa na wageni zaidi ya 800, hivyo amewaomba, wamiliki wa mahoteli, wawe wakarimu sana kwa wageni wetu ili wakitoka, watamani kurudi tena nchini.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…