Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale ningependa niende moja kwa moja kwa habari yangu kuhusu changamoto kubwa inayokikabili chuo cha ualimu tarime kilichochopo mkoa wa mara hiki chuo ni miongoni mwa vyuo vya ualimu vya serikali vikongwe kabisa walio soma hapa watakuwa mashihidi lakini licha ya ukongwe wake kuna changamoto kubwa mno kama ifuatavyo; _
1.Majengo; kuanzia kwenye ofisi za wakufunzi, madarasa, mabweni yamechoka yani mabweni mengine yana kreki yani serikali mkinusuru hiki chuo kozi ni nyingi lakini cha ajabu ata meza au viti siyo vya kutosha yani.
2: Maji :ni tatizo kubwa maji siyo ya kutosha yana siyo ya uhakika kisima kimoja hakikidhi mahitaji ya walimu tarajali wa hapa
3:Kozi nyingi sana zimekilemea chuo majengo hayatoshi Ndalichako angalia hili ili kuwepo na mazingra mazuri kulingana na idadi ya wanafunzi
4 Narudia tena hoja kuwa mabweni ya wanaume yamechoka huenda ndio chuo cha kwanza kuwa na mabweni ya yalichoka Tanzania nzima ikiwezekana viongozi mtembelee hiki chuo kwa kushtukiza mufike kwenye mabweni na vyoo vya wanaume hali ni tete sana huku.
Nina imani kuwa habari zimefika ni bora kufika chuo muone hali halisi ya chuo hiki mama Ndalichako please fika hapa ujione hali ya hiki chuo.