Prof. Ndalichako toa tamko la kufuta malipo ya udahili kwa wanafunzi kusoma Elimu ya Juu

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,318
Kulipia kila maombi ya kusoma kwa mwanafunzi kwa kila chuo Sasa ni kikwazo kwa watoto wanaotoka familia masikini kabisa.

Zamani ilikuwa TCU unalipa 50,000/= kwa CAS Sasa hii ya Sasa Kali.

Prof Ndalichako Waziri mwenye zamana toa tamko ktk hilo ili vijana na wazazi waweze kumasaidia zoezi zima liende vizuri.
 
There is a point. Kinachotokea Vyuo vikuu sasa wanadhani wamepata mbinu mpya ya kuingiza kipato. Hawana sababu ya kuongezxa gharama za maombi enzi hizi za online applications.

Mapato haya tusipochunga yatakuwa ndo njia ya wizi baada ya kuwa wameambiwa pesa zote ni BoT. Tunawajua watu hawa. Ni wezi kweli kweli!!!!
 
Tuanze kumshauri kwanza Mkulu maana yeye ndio alivunja mfumo wa CAS bila kuangalia athari zake kama hizi.
Na humu JF hili jambo tulilisema lazima athari zitatokea pindi aliapotamka huo mfumo wa CAS ufutwe ili mwanafunzi apate uhuru wa kuchagua chuo anachokipenda wakati anazundua Hostel za UDSM.
Sasa tukitaka kumbebesha mzigo Ndalichako wakati yeye anafanya kazi kulingana na matakwa ya Mkulu, suluhu ni ngumu kuipata.

Tuombe mungu Mkulu aseme tena kuhusu huu mfumo mpya ili wanyonge anaowaongoza waweze kunusurika.
 
Hii athari niliisema tangu mwanzo baada ya kinyago kuropoka.... Leo watoto wa masikini wanaumia... Narudia tena kwa mfumo huu wanafunzi wengi watakosa vyuo na vyuo vingi vitakosa wanafunzi. Wenye akili tu ndio wataelewa hili..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli wazazi na watoto wanaumia. ila sisi wa IT ndo msimu wetu wa kupiga pesa mtaani kwenye mainternet cafe
 
Tuanze kumshauri kwanza Mkulu maana yeye ndio alivunja mfumo wa CAS bila kuangalia athari zake kama hizi.
Na humu JF hili jambo tulilisema lazima athari zitatokea pindi aliapotamka huo mfumo wa CAS ufutwe ili mwanafunzi apate uhuru wa kuchagua chuo anachokipenda wakati anazundua Hostel za UDSM.
Sasa tukitaka kumbebesha mzigo Ndalichako wakati yeye anafanya kazi kulingana na matakwa ya Mkulu, suluhu ni ngumu kuipata.

Tuombe mungu Mkulu aseme tena kuhusu huu mfumo mpya ili wanyonge anaowaongoza waweze kunusurika.
Zipunguzwe tu kuondolewa si rahisi, maana hata kabla ya huo mfumo wa TCU tuliosoma kabla tulikuwa tunalipia vile vile na hatukuwa matajiri japo ilikuwa haizidi elfu 20. Kuchakata maombi kuna gharama zake japo sidhani kama gharama ya elfu 50 kwa chuo kimoja ni just.<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Nilimuunga Mkono Kwenye BRN, GPA Na Mimba Mashuleni, Lkn Kwenye La CAS Hapana. Kutoka Kweye System Kwenda Manual Huo Ni Ujima. Km Aliona Kuna Mapungufu Angeshaur Nn Kfanyike, Kwenye Programing Hakuna Knachoshndkana Ni Swala La Wataalam Tu. Matatizo Ambayo CAS Ilikua Inasolve: 1. Kila Chuo Kilikua Kina Gharama Yake Ya Kuchukua Form, Hapa Vyuo/Mashule Huwa Wanafanya Biashara Ya Kuwauzia Watu Makaratasi. Unaweza Wauzia Watu Elf10 Wkt Ww Unataka Elfu1. 2.Vyuo Vngine Vilikua Vnachukua Hata Ambao Hawana Sifa Ili Vjiendeshe, Matokeo Yake Watu Wanafka 3nd Yr Anakuja Kukataliwa Na TCU/ NACTE Wkt Kapoteza Muda Na Pesa 3. Kuna Wanafunz Wana Weza Pata Vyuo Zaid Ya Vitatu Mf. Mzumbe, UD, Sokoine Na UDOM Af Akaamua Kwenda UDOM. Kumbuka Kunavyuo Vmemchagua Na Vnamsubiri, Af Kuna Wenzake Wamekosa Nafasi Mzumbe Au UD Kwa Sababu Ya Nafasi Yake. Na Wengine Wameomba Vyuo Zaid Ya Vtatu Wamekosa Vyote Kwasabu Ya Waombaji Ambao Almost Ni Wale Wale 4.Gharama Ya Kuapply Chuo Zaid Ya Kimoja 5.Muda Unaopotea Kwa 2nd Selection.
 
Ni kweli kabisa
 
Zipunguzwe tu kuondolewa si rahisi, maana hata kabla ya huo mfumo wa TCU tuliosoma kabla tulikuwa tunalipia vile vile na hatukuwa matajiri japo ilikuwa haizidi elfu 20. Kuchakata maombi kuna gharama zake japo sidhani kama gharama ya elfu 50 kwa chuo kimoja ni just.<br /><br />Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaweza kuondolewa kabisa na kazi ya kupata wanafunzi ikafanyika.
 
Kulipia kila maombi ya kusoma kwa mwanafunzi kwa kila chuo Sasa ni kikwazo kwa watoto wanaotoka familia masikini kabisa.

Zamani ilikuwa TCU unalipa 50,000/= kwa CAS Sasa hii ya Sasa Kali.

Prof Ndalichako Waziri mwenye zamana toa tamko ktk hilo ili vijana na wazazi waweze kumasaidia zoezi zima liende vizuri.

Ndalichako atoe tamko unafkiri yeye na serikali hawajui hili?? Hizi hela zinalipwa kupitia Tigo Pesa, M-Pesa ama Airtel Money ama Bank moja kwa moja you never know hela nyingi zaidi yawezekana inaingia serikalini kwenye hizo 20elfu ama 30elfu.

Na sasa huu mpango umekuwa mbaya zaidi, takriban nchi nyingi ulimwenguni vyuo vikuu vinakuwa controlled na systeam 1 tu tofauti na aliyetoa idea hii kwa Tz, huu mfumo umerudisha nyuma zaidi tulikotoka.

Halafu jengine ambalo linaudhi zaidi kuna hii habari ya Certificate Verification (AVN)., utume vyeti vyako NACTE ili vifanyiwe uhakiki halafu ndio ukaingie kwenye mtandao wa chuo uweke ile Verification Number., Sasa hii verification Number imekuwa ni kama ndoto watu wametuma vyeti vyao kwa verification sasa sijuwi ni wiki ya ngapi hakuna namba iliyotumwa popote si kwenye email zao wala number zao za simu wala kwenye account zao za Nacte.

Maombi mengi yamekuwa yako pending wanafunzi hawajuwi wafanye nini., wengine wengi wamepata majibu kwa verification imefeli ikiwataka wafanye tena na tena hiyo verification lakini muda wa kuomba vyuo unaendelea kuyoyoma.

Lakini lakusikitisha zaidi kuna wanafunzi wamelipia online hela inakwenda wakati systeam haikubali kuruhusu mtu kuendelea ku-apply chuo., ni udhaifu mtupu walitakiwa kwanza wafanya majaribio ya kutosha na kujiridhisha ata miaka miwili ndio wanafunzi waingizwe kuwenye huu mfumo wa kushtukiza ambao sijaona ukimrahisishia mwanafunzi kufanya maombi.
 
Kudahili kuna gharama zake ambazo lazima zilipwe. Yalizungumzwa na sasa yametimia. Yatakapo tushinda kama yatatushinda basi tutarudi CAS.
 
Tunaumia sana sisi watoto kutoka familia zenye kipato cha kati na chini....nimetumia elf75 mpaka sasa kuomba vyuo vitatu kitu ambacho kwa yule ambaye yupo kijijini sio rahisi ku afford kulipa fedha zote hizo....Serikali inabidi iliangalie upya swala hili kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom