UKIVUKAJE,dah.jf raha sanaKwa uandishi huu sijui ukivukaje darasa la tatu.
Teh teh teh huo ni uandishi wa kiandisi,kama anachora ramani chini vile.Sasa huu ni uandishi gani sasa mwana ARU
Hakika kama ndo hivi kuna ulazima wa aru kurudishwa udsm
ARU ikirudi Udsm basi na wewe urudi kwa wazazi wako
walimu wote wa ARCH, QS ni wa aru , health ni muhimbili sasa sijui hyo hadhi yenu inatoka wapi, ukiongea hata na walimu wa udsm the first thing to admit aru offers better quality education , and usual recommend one to undertake aru degree programsyaan ni kwel kabsa,ardh haina hadh kujitegemea,hakuna miundo mbinu kabsa
Kwa uandishi huu sijui ukivukaje darasa la tatu.
Huu uandishi ni aibu kwa ARU na walimu wote waliokufundisha kuanzia chekecheaNakubaliana_na_ww_mkuu.
Mimi_bado_nipo_Ardhi_University,kinachoendelea_hapa_nia_aibu_tuu.
Nahisi_hawakujipanga_kuwa_University_kamili_inayojitegemea_kwa_kila_kitu.
Ni_kitu_kizuri_kuwa_na_ongezeko_la_vyuo_nchini_mwetu,lakini_Je,ubora_wa_elimu_inayotolewa_inazingatiwa!
Vyuo_tofauti,kozi_zilizosawa,na_muendelezo_wa_kuazimishana_wahadhiri...Ubora_wa_elimu_umezingatiwa_kweli?
Prof kiampa yupo ?
Nimetoka Aru 2015 kumejaa ftina kubwa pale utawala prof kasenga na prof kaseva haziivi kisa vyeo ndo wamekosa strategic hata wameshindwa kumalizia lile jengo la building
Aibu tupu cwez kufunguka humu
Huu uandishi ni aibu kwa ARU na walimu wote waliokufundisha kuanzia chekechea
Ntaelewaje makorokocho hayoAcha kujadili vitu visivyo na maana,kwani haujamuelewa?
Prof kiampa yupo ?
Nimetoka Aru 2015 kumejaa ftina kubwa pale utawala prof kasenga na prof kaseva haziivi kisa vyeo ndo wamekosa strategic hata wameshindwa kumalizia lile jengo la building
Aibu tupu cwez kufunguka humu
Prof kiampa yupo ?
Nimetoka Aru 2015 kumejaa ftina kubwa pale utawala prof kasenga na prof kaseva haziivi kisa vyeo ndo wamekosa strategic hata wameshindwa kumalizia lile jengo la building
Aibu tupu cwez kufunguka humu
Hile ishu nilikuwepo nakumbuka xuli ya sest tulikuwepo wengi aise m kidgo aniondoe chuo 2011 kipind hicho nimepoteza result slip yaF 6Huyo kihampa sina hamu nae hata kumwona sihitaji 2013 alitaka kutufukuza chuo kisa tu tulichelewa kukusanya fomu zilizochelewa kusainiwa derpatment isingekua ukomavu wa SABINI(raisi kipindi hicho) tungeondolewa kwa makosa ya chuo
Vip sest ajaunganishwaSasa hivi wameua wameunganisha unganisha school mbali mbali kua moja
mfn: scem and sade === SACEM
hali mbaya sana pale
Ni mkanganyiko tu!Ubaya walioufanya UDSM ni kuanzisha kozi hizi
BSC. BUILDING ECONOMICS
BSC. ARCHITECTURE
BSC. GEOMATICS
BSC LMV
hizi ndio kozi mama zinazoibeba ARU ila kwa ukiritimba tu UDSM wakaanzisha makusudi ili waue chuo, chakufanya wafute hizo kozi UDSM for the sake of ARU
hakuna mwanafunzi mwenye 1 yake akachagua ARU akaacha Udsm
hili swala hata AQRB na TIQS pamoja na AIA wanalijua na wanafahamu kabisa sishawahi kusikia mahali wakubwa wa AQRB wanaongea ila wanaogopa kusema nahisi
Yuko TCUProf kiampa yupo ?
Nimetoka Aru 2015 kumejaa ftina kubwa pale utawala prof kasenga na prof kaseva haziivi kisa vyeo ndo wamekosa strategic hata wameshindwa kumalizia lile jengo la building
Aibu tupu cwez kufunguka humu