BABA E's
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 354
- 136
Ingekuwa mimi ni waziri wa Elimu ningerudisha Ardhi University UDSM, maana yanayoendelea sasahivi kwenye hivi vyuo hata sielewi zaidi ya kusema ni ulafi wa madaraka hasa ukizingatia ukaribu wa hivi vyuo viwili.
Ardhi ilijitenga na UDSM lakini ikaja kuanzisha kozi ambazo zipo UDSM mfano Civil Engineering na UDSM imeanzisha BA in Architecture ambayo ipo ARU na kozi zingine nyingi. Hizo kozi zimeanzishwa lakini kwa asilimia kubwa wanategemea walimu walewale kutoka vyuo vyote viwili.
Quality ya Elimu sasa inapotea, ni mkanganyiko tu!. Nafikiri kuna haja ya kurudia kuchunguza na kujiridhisha umuhimu wa hivi vyuo viwili kujitenga.
Kwa dhambi hii hatutashangaa COICT nayo kujitenga!.