Prof. Ndalichako, kiatu kishampwaya!

Hivi unafikiri kila mtu ni mboga saba km ww?

Njia ya kutatua matatizo ni kujibidisha ili kujikwamua na sio kukaa kuwa omba omba. Ukae ukijua sio wote wanahtaji misaada, baadhi yetu tupo hapo kwa kuwa hatujui kuwa ni wajibu wetu kupambana kufika pahali Zaidi. uombaje akakupa bila kukueleza ukweli ataendelea kukufanya kuwa mtumwa Zaidi. Ukweli unauma lkn matatizo ya serkali kushindwa kumudu loan yanatoka na wengine wenye Uwezo kidogo kutotaka kujituma wakataka favour na hata kupelekea kuwazibia hata wale ambao kweli ni wahitaji
 
kama unafikiria ninachoongea hapa ni classes, hatutaelewana hata iweje.
suala la kila mtu kwenda chuo nadhani yapasa waende ambao wamefika viwango otherwise tutapotezeana muda, wengine wangegundua mapema wangeshika njia zingine za mafanikio. Sio wote waliofanikiwa ni wasomi wa vyuo. Kwa sasa wapo wengi wamemaliza elimu za juu na hakuna ajira na wanasubiri. Time will tell, tutabadilika
 
WATANZANIA NA KUPENDA DEZO YA MTEREMKO,KUFYATUA MFATUE WENYEWE SHIDA MUILETEE SERIKALI NA KULI LIA MSSADA WA KUSOMESHEWA,KAMA HUWEZI KUSOMESHA MWANAO SI UMUOZE TU ,KILA SIKU MIKOPO MIKOPO MIKOPO,AHHHH KWENDEBI HUKO YANI MNAKOOPA KUANZIA BABU,BABA HADI MJUKUU HADI SERIKALI NAYO INAKOPA KOPA TU,YANI MTEREMKO KILA MAHALI,KWENDENI HUKO
 

Mama huyu nadhani hakuchaguliwa kwa uwezo wake !!!!! ILA NI KUENDELEZA HUJUMA KTK WIZARA HII MAMA, she was a huge problem when she was there at once. Mr.JK akamfuta, lakini waliokua wanamtumia iliwaumiza sana kutimuliwa mama huyu.
Kwani ni nani ambaye hakuyaona MAAJABU ya figisufigisu za matokeo ya kidato cha IV mwaka 2012 akiwa kiongozi mwandamizi ktk wizara hiyo?

(a) anasifa ipi mpaka ikashawishi arudishwe tena ktk wizara hiyo wakati yeye alikua tatizo kubwa hapo?

(b) kwani kama ni tunu ya kupewa uwaziri kwa uprofesa wake hawezi kua waziri asiyekua na wizara maalum ?

(c) Kama Mr. Padlocks atamuacha hapo kwa interest fulani fulani mengi tutayashuhudia.
 

Nafikiri kunatatizo la kuelewa, kwani hizo pesa za mkopo kwa wanafunzi ni makusanyo kutoka wapi ? kama ni kodi za wananchi huyo mwananchi mwenye uwezo halipi kodi? na huyo asiyekua na uwezo naye halipi kodi ? Kama wote wanalipa kodi kunahaki ipi ya kubagua ktk kuwakopesha?
Tena wenyeuwezo wanalipa kodi kiasi kikubwa kuzidi wasiokua na uwezo
Minafikir uungwana ni kuwomba jamani nyie wenzetu mliojaliwa kipato tunakuombeni msaidie ktk hili ili tuwasaidie nawale ambao hawakujaliw kipato kikubwa,
Sio kuona kama kwamba ni dhambi nawo kupata mkopo wakati jasho lao limo ktka mfuko huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…