Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

kilalile

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
1,594
Reaction score
2,207
Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).

Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
 
Neno vivuri linaweza kufafanuliwa zaidi it is too general!
 
Anapaswa kuwa Waaziri Mkuu, ndio atawanyoosha vizuri wale wafanya kazi wazembe!
 
Kwa speed ya huyu Mh. Waziri, umakini na uzalendo anaouonesha katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku katika kuisimamia wizara nyeti ya elimu pamoja na taaluma za wanataaluma wengine, waziri huyu anastahili kuwa Rais 2025. (2020 Rais atabaki huyuhuyu tuliyenae).

Mtaje wa kwako unaemuona anafaa pia bila kujali anatoka chama gani.
Mmeamua kuibuka na mwingine tena,haya...Tibaijuka na Rose Migiro wamewakinai?
 
Ktk mashindano ya riadha, huwa tunasema "mbio ni kumaliza, si kuanza".
Pamoja na dhamira yake nzuri, lakini anahitaji muda. Ni mapema mno kubashiri.
 
Haujamuona Makonda na Polepole kwenye mwanzo wa hizo mbio za Marathoni?
 
Usifananishe kuongoza wizara na kuongoza nchi
Mtihani wa kwanza tunamchora kwenye pesa za feild zinazocheleweshwa
 
Back
Top Bottom