madalleh
Member
- Feb 26, 2017
- 82
- 31
Uwezo wako mdogo wa kufkilia ndo chanzo cha majibu yakoMm ninavyojua chuo cha ardhi kiko morogoro na tabora yaani
Ardhi institute lakini kama unazungumzia kwa DSM kinaitwa Ardhi University ( chuo kikuu ardhi) zamani UCLAS ilikuwa ni tawi la UDSM
Kwa maana kiliitwa University college of Lands and architectural studies
Wanafunzi wa digital mna shida sana yaani chuo unachosoma bado hujui kinaitwaje,shukuru kuwambo aliharibu sana elimu na ule mfumo wake Big results now (BRN) umetuletea wanafunzi wa mwendokasi mno