Elections 2015 Prof. Mwandosya: Richmond na Escrow wakatwe urais CCM


una akili sana mkuu.
 
Hivi Pharaoh anaongelea ufisadi wa Prof. Mwandosya kama kinga ya ENL au kwa sababu ufisadi wake upo? Kama kweli upo ulisubiri Prof. azungumzie Richmond na ESROW? Kama asingemgusia Richmond na ESCROW asingekuwa Fisadi. Kumbe kukaa kimya juu ya ufisadi ni aina ya rushwa pia. Prof. anyamaze ili kuogopa Pharaoh asije akasema mabaya yake.
Nadhani watanzania wa aina ya Pharaoh ni hatarizaid kwa sababu wanaweza kuficha mabaya ya watu kwa sababu na mabaya yao hayasemwi. Hawazungumzii mabaya ya mtu yeyote ili mradi na ya kwao hayasemwi na mtu. Wanazungumza baya au zuri la mtu kwa manufaa binafsi siyo kwa manufaa ya Taifa. Hawamjadili mtu kwa maana atatufaa vipi kama Taifa bali ananyamazia vipi mabaya ya wenzake. Dhambi ya mtu wao wanataka isafishwe kwa dhambi ya mwingine. Ni kama mchezo wa watoto wa darasa la kwanza 'kama umenikanyaga na mimi nakukanyaga
Unaongelelea vipi hii hapa chini kuhusu Mzee Mwandosya kama ilivyoletwa na Mkuu Pharaoh
 
Mzee anarusha mawe akiwa kwenye nyumba ya vioo? Si ajabu anajiona yeye ufisadi wake aliufanya uvunguni na watu hawajui.Haya sasa Mzee Mwandosya sema suuu watu waanze kutiririka na yako.

Na ile kampuni ilyokuwa Celtel kumlipia mwanawe fee ya chuo nakumbuka ilikuwa issue kidogo au nimesahau?
 
Kati ya watu ambao huwa hawaniingii ni huyu Mzee na sijuhi kwanini ..alafu CCM mbona mnatuletea wazee sana jamani?

Hapo huko fair kabisa....... Ngoja nikukumbushe.......Mwigulu, Kigwangwala, Mwele na hata yule Kijana Wa Mzumbe
 

Usisahau alivyoiuza TTCL kwa bei sawa na Bure
 

pia huyo unaye mtetea ni kibaka tu ! / kama vibaka wengine / hakuna msafi hata mmoja ndani ya CCM except late MWL JKN
 

HUYU MZEE ANAONEKA NI MTII NA MNYENYEKEVU KUMBE NI HATARI SANA!/ HII INAITWA INFLICTION TO NATION KUWEZA KURUBUNIWA NA MTU WA TAIFA LINGINE,BADALA YA KUSIMAMA NA TAIFA LAKO,
***------>>>This is bad,bad,bad,worsest ever! unahongwa na taifa lingine kuhujumu taifa lako!?/mwl nyerere sijui angempa ADHABU GANI HUYU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…